watu mnajifariji sana na kuwasema wengine, bila kujua na ninyi mpo vulnarable mno na kifo, uzima wenu upo wapi? nani anashikilia uzima wenu? Mpeni Yesu Maisha yenu ili mkifa mfe katika Bwana mwende mbinguni na mkiishi muishi katika Bwana. ogopeni moto wa jehanum milele kuliko hata kifo cha mwili. imagine, miaka yote ile Gadner alikuwa anaishi, anatangaza, amesikia injili ya Yesu, sijui atakuwa aliokoka kabla ya kufa? kama hakuokoka atakuwa na udhuru gani, maisha ya duniani ndio yameenda hivyo, huko alikoenda kama hakuandaa moyo wake ni majuto.
hii itufundishe sisi ambao bado tunapumua, tutengeneza maisha yetu ya umilele. ni kwa njia ya KUmkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako, na uokoke upate uzima wa milele. kwa Tanzania hii, hakuna mtu ambaye hajui maana ya kuokoka, kila mtu anaelewa, that means hakuna atakayetoa udhuru siku ile kwamba hakusikia injili. hata mnaopinga wokovu mnaujua kabisa ila mnashupaza shingo zenu. amua leo, mpokee Yesu ili ujihakikishie maisha mema milele. Mungu awasaidie.