Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhaya alikufanya nin maishani mwako?? Mana kila post yako hukosi kumsema mhayaKwa hilo la kukataa kuongelea masuala ya mtalaka wake nampongeza sana huo ndio uanaume angelikuwa Mhaya hapo angebwabwaja mpaka basi.
Ndinga za nani maana brand name ya kwny maji n ndinga zinafanana au ana hisa flanMaji yes hizo ndinga si zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!Ana maana gani kujuta wakati mke alimuacha mwenyewe kwa hiyari yake kwa tamaa za mali za jide? matokeo yake kaondoka na boxer tu *****, jide mbaya
Hizi gali zipo south Africa eneo moja linaitwa mpumalanga....zipo zaidi ya 300Google hilo jina it akuletea Nadhan km si Australia hii kampuni..... Google si zake mkuu
Hivi mnapokua kwenye ndoa kuna cha mume na cha mke? ninachojua mimi Murano na Range yalikua magari yao, haijalishi nani kayanunua.... hapa ndipo tunapokosea. mmefunga ndoa, cha mume ni kipi na cha mke ni kipi...!! badilikeni watanzania, hiyo dhana ya changu ndani ya ndoa ifeGadner nae mmbea, wakat anaendesha Murano ya Jide na Range Rover alikua hajutii? leo katoswa ndo anajifanya nyoko nyoko, atajibeba mwaka huu, ndio maana matapishi ya Clouds
SawaHizi gali zipo south Africa eneo moja linaitwa mpumalanga....zipo zaidi ya 300
Niliwahi kuandika Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!“Yale mazingira niliyokutana nayo Mwanza ya kibiashara yalisababisha nikaachana na mke wangu wa kwanza, ni kitu ambacho najuta,”alisema staa huyo. “Nisije nikasema sana mwisho nikalia hapa bure,” alisisitiza.
Marafiki waliotangulia, wanazidi kuitana...Wanabodi,
Jee Roho za Waliokufa Zinaweza Kuwaita Walio Hai?.
Jibu ni yes, ndio maana kwa baadhi ya mila, wamama wajawazito hawaruhusiwi kwenda makaburini, ili waliolala wasije wakaviita vichanga, na matokeo yake vikaitika na kupata still born.
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa Soul Mates, na hii ndio subject matter ya uzi wangu huu.
Hitimisho.
Kwa vile kwa sisi binadamu wote hapa duniani tuko safari tuu, kuelekea kwenye makao ya milele na maisha ya milele, tusiwalilie waliotangulia na kuhuzunika saana kwa kuwakosa, tuhuzunike kibinaadamu, kwa kulia kwa kiasi tuu, kisha maisha ni lazima yaendelee, bali pia tujiangalie sisi wenyewe, kwa nafsi zetu, jee tumejiandaa kuitika wito wakati siku yetu na saa yetu ikitakapofika?.
Kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala saa.
RIP Ephraim Kibonde na Ruge Mutahaba na wengine wote waliotangulia, nyinyi mbele sisi tuko nyuma yenu, sote sisi ni wa Kwake na Kwake tutarejea.
Paskali