Aisee we Gardner, hii kauli usirudie tena manake sie wengine tuna wivu wa kurithi!Amesema mke wake huyo kwa sasa aliolewa japo wana mawasiliano mazuri sababu ya mtoto wao.
Yaani unajinasibu kuwa na mawasiliano mazuri na mke wa mtu kwa gia ya mtoto? Kwa mtoto gani kubwa zima lile? Au kuna mwingine zaidi ya yule binti mrembo? Halafu mbaya zaidi ushatangulia kusema unajuta kuachana nae-- tusitafutane ubaya hivyo... we twende tu!