Hizo lori ni za nani?!Maji yes hizo ndinga si zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo lori ni za nani?!Maji yes hizo ndinga si zake
Google hilo jina it akuletea Nadhan km si Australia hii kampuni..... Google si zake mkuuHizo lori ni za nani?!
Pole sana Gardner....Majuto mjukuu. Usiache mbachao kwa msala upitao
Namba yake sikupi broNaombeni namba ya simu ya mtoto wa Gadner.
Namba yake sikupi broView attachment 335956
Nimeondoka pale Kwa sasa....!nipo na kila siku karibia napita kijiweni pako...umesafiri nini aisee
HahahahaaaaaAna maana gani kujuta wakati mke alimuacha mwenyewe kwa hiyari yake kwa tamaa za mali za jide? matokeo yake kaondoka na boxer tu *****, jide mbaya
Ka move vipi wakati bado anamlilia mke wake wa kwanza?That's how a man moves on.....
Tatizo lako wewe hupendi kuambiwa ukweli, i dont know why?unajuaje kama napenda kuandika habari za watu kama na wewe hupendi kusoma mambo y watu? umbea tu jitu zima nitolee upuuzi wako hapa
Na wewe nitolee unafiki wako huko, wewe kama hupendi umbea humu kilichokuleta nn? au mk*und* unawasha asubuhi asubuhi , unikome mbwa wewe, nenda kaoshe uch* wako achana na mimi kabisaaaTatizo lako wewe hupendi kuambiwa ukweli, i dont know why?
jide yupo juu akae akijua
jide yupo juu akae akijua
PoleYupo juu kivipi;
unatakiwa kutofautisha ndoa na masualwa mengine, hata kama wewe mke una pesa kama mchanga but ukifika ndani kwangu you have to obey kwa mme wako; ukishaamua kuolewa means umeamua kusurrender freedom yako yote kwa mme wako. ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu mwanamke eti kwa sababu yeye anapesa au ana elimu kubwa kumzidi mme wake ndo sababu ya kufanya atakalo
Tutazidi kuwapiga taraka maana hamna namna nyingine
Nini maana ya ukabila hapa?? Acha upuuzi wako wewe. Watu wanajadili mambo mengine wewe unaleta ukabila.Kwa hilo la kukataa kuongelea masuala ya mtalaka wake nampongeza sana huo ndio uanaume angelikuwa Mhaya hapo angebwabwaja mpaka basi.
Siyo nauli tu, atafikia wapi? Watu walioikosa dar ndo wanaponda wanaume wa dar. Dar ndo kila kitu.anatamani kuja dar sema nauli hana huyo