Gardner G Habash: Najuta kuachana na mke wangu wa kwanza

Umbea wake uko wapi?!?!? Unaelewa maana ya mke wa KWanza au unasikia tu! Hebu muacheni Gadner na maisha yake!
mbwa...kama kimekuuma nenda akakuoe wewe basi..mxieee
 
Kwa hilo la kukataa kuongelea masuala ya mtalaka wake nampongeza sana huo ndio uanaume angelikuwa Mhaya hapo angebwabwaja mpaka basi.
Mhaya alikufanya nin maishani mwako?? Mana kila post yako hukosi kumsema mhaya
 
Nze ndi ndi ndiiiiiiiiiii
Ndo habari ya town!

Ajute asijute shauri yake, tunachofahamu ni vichaa wote weshashushwa milembe na milango ikafungwa kisha komando akaondoka ndi ndi ndiiiii
 
Ana maana gani kujuta wakati mke alimuacha mwenyewe kwa hiyari yake kwa tamaa za mali za jide? matokeo yake kaondoka na boxer tu *****, jide mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!
 
Gadner nae mmbea, wakat anaendesha Murano ya Jide na Range Rover alikua hajutii? leo katoswa ndo anajifanya nyoko nyoko, atajibeba mwaka huu, ndio maana matapishi ya Clouds
Hivi mnapokua kwenye ndoa kuna cha mume na cha mke? ninachojua mimi Murano na Range yalikua magari yao, haijalishi nani kayanunua.... hapa ndipo tunapokosea. mmefunga ndoa, cha mume ni kipi na cha mke ni kipi...!! badilikeni watanzania, hiyo dhana ya changu ndani ya ndoa ife
 
“Yale mazingira niliyokutana nayo Mwanza ya kibiashara yalisababisha nikaachana na mke wangu wa kwanza, ni kitu ambacho najuta,”alisema staa huyo. “Nisije nikasema sana mwisho nikalia hapa bure,” alisisitiza.
Niliwahi kuandika Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Marafiki waliotangulia, wanazidi kuitana...

View: https://youtube.com/shorts/KMVmvFPjui4?si=G28gCVGn1VUc-Jbrnyinyi mbele sisi tuko nyuma yenu, sote sisi ni wa Kwake na Kwake tutarejea.
Rip Gardner G Habash, Kapitain
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…