Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu kama umegoma kuelewa hata kwa mfano niliokupa wacha tuufunge mjadala. Mwenye macho haambiwi tazama....
Mwanaume kushindana na mwanamke ulieachana nae hasa kwa maneno ( mipasho ) ni kujidhalilisha mwenyewe. Mwanamke akiongea mwanaume fanya kwa vitendo maana wanawake wameumbiwa kuongea na ni wepesi kutoa ya moyoni. Lakini mwanaume mtimilifu tumeumbiwa kifua na uwezo wa kuchuja tunachotaka kusema.
Kama alikuwa na akili zake timamu na alidhamiria kusema hayo AMEKOSEA. Kuna kila dalili za mhusika kutoa kauli hiyo akiwa amelewa.
Kauli za KIUME za kuonyesha huna bifu na X wako:-
1. Sina tatizo naye ndio maana nyumba niliyomjengea nimemuachia abaki nayo.
2. Na muheshimu kwa 1,2,3, aliyonifanyia japo tumegombana
3. Naendaga kusalimia na kuwa hudumia watoto kwake kama mmejaliwa kupata watoto enzi zenu.
Na mambo mengi ambayo hata mimi kijana nikisikiliza naona kweli jamaa KIDUME hana tatizo na X wake.
mimi naona kwa kauli kama hii, ni dalili kuwa mwanaume hakuna na jambo lolote la msingi analoweza kujivunia amelifanya kwa X wake zaidi ya kilichosemwa.
"ooohhh nimem............",
sasa unatafutiwa, unapikiwa, unatengewa, unanawishwa mikono na mara nyingine kulishwa ili iweje????? au alafu huduma ikushinde?
yaani Ng'ombe uilishe alafu isitoe maziwa .............. tupa kule
Hata hivyo shukuru Mungu kwa huo uwezo maana hiyo huduma ingeshindikana hata miezi sita isingefika....
Hiyo ni juzi tu mkuu, ilikuwa kwenye miss TIA pale Bills.Jukwaa la nini na wandaaji walikuwa kina nani?
Make najua Gadna anafanya kazi clouds, jukwaa lolote la clouds halipigi nyimbo ya Jide
Kumbe Gadner anajua kumkojoza mwanamke? Hongera zake maana wanaume wengi wa Dar hawawezi kumkojoza mwanamke sababu yakula chips mayai na kuku wa kizungu, shame on you wanaume wa Dar
Na yeye ni hao hao, jinga sana huyu jamaa ati naye anasimama kujisifia miaka kumi na tano halafu anaondoka na nguo zake kwenye rambo, wenzake madakika tu binti anatemea mate begani baada ya miezi tisa mzigo unashushwa,Kumbe Gadner anajua kumkojoza mwanamke? Hongera zake maana wanaume wengi wa Dar hawawezi kumkojoza mwanamke sababu yakula chips mayai na kuku wa kizungu, shame on you wanaume wa Dar
hili jambo kumbe kila mtu humu
anatakiwa awe na upande?
nilikua sijui
Umesema kweli kaka Gadner anaonekana alipiga tungiInawezekana alikuwa ashapiga mitungi, tumsamehe tu, unajua sis wanaume bana sometimes unaweza piga vyombo ukabugi.
Ogopa sana; kuendesha ukiwa umelewa
Ogopa sana; kutoa ufafanuzi wa tatizo la muda mrefu ukiwa umelewa.
Ogopa sana; kureact mambo ya kifamilia ukiwa umelewa
Ogopa sana; kupost Twitter, au hata JF ukiwa umelewa (japokuwa uzoefu unaonesha, wengi humu huwa ni kawaida yao)
Ogopa sana; kutoa PLEDGE zozote zinazohusu hela ukiwa umelewa.
UTAAIBIKA BAADAE.