Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni pipa na mfuniko wote midomo yao ya hovyo.Hawezi kukaa kimya yule ni lopo lopo
Kama mpaka leo kwa hili saga la ndoa yao huyo jide hajapoteza kitu kwako basi una double standard mi naita unafki(samahani kwa lugha hiyo) wa hali ya juu sana...Kama atajibu atapoteza kitu kwangu kama ambavyo Habash kapoteza.
Kujibizana na mwanamke hatomaliza bora ampuuze tu mwisho jde akiona hajibiwi atanyamazawell said mkuu, gadna amekuwa akikwepa sana kumzungumzia jide lakini jide kutwa kumpiga vijembe hasa insta... watu kimya lakini g akifunguka tu watu wanamjia juu. jide naye aache ukorofi bhana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
MSHAMBA HUYO
Asante sana kwa kuniita mnafiki,mimi napenda nikuite MWEREVU uliyebobea.Kama mpaka leo kwa hili saga la ndoa yao huyo jide hajapoteza kitu kwako basi una double standard mi naita unafki(samahani kwa lugha hiyo) wa hali ya juu sana...
Au labda hukuwahi kufatilia ugomvi wao hapo kabla.
Usipaniki kawaida tu.Asante sana kwa kuniita mnafiki,mimi napenda nikuite MWEREVU uliyebobea.
Mwenzio nna shida halaf unanicheka tena, hata banaWe umenichekesha sana loh...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahhahaha,,,,kutwa mida ya jion wamejazana asee..daah nazionea huruma hizo mbo zao kila siku wapokea mafutaKumbe Gadner anajua kumkojoza mwanamke? Hongera zake maana wanaume wengi wa Dar hawawezi kumkojoza mwanamke sababu yakula chips mayai na kuku wa kizungu, shame on you wanaume wa Dar
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.
"Sina neno na yule mtoto wa kike, nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hv"
Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.
VIDEO:
=====================
Update;
=====================
View attachment 345970
Siku ya harusi ya Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee na Mtangazaji wa Clouds FM Gardner G Habash.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla ameingilia kati Ugomvi wa Judith Daines Wambura Mbibo(Lady Jay Dee) na aliyekuwa Mume wake Gadner .G. Habash.
Naibu Waziri ametoa rai kwa uongozi wa Clouds Media kumuomba radhi msanii Lady Jay Dee, kufuatia kauli iliyotolewa na mtangazaji wake Gadner G. Habash kuongea mbele ya kadamnasi akimtusi mke wake wa zamani Lady Jay Dee.
"Ndg. Gardner amefanya udhalilishaji mkubwa si tu kwa Jide Jaydee bali ametukana Wanawake wote. Mimi #BaloziWaWanawake namtaka aombe radhi
Natoa rai kwa uongozi wa Cloudsfm kumtaka Ndg. Gardner afute kauli yake na aombe radhi kwa Jide Jaydee na kwa umma ili kulinda heshima yao" Kigwangallah amesema.
Kwaio gadina yeye ana nn hahaahaKuna wanaume na wenye uume. Ni vitu viwili tofauti.
Jibu jide jibu wawwa wawwaa wawwammh ila kwa hili neno jide alipo huko??sasa hapo asipotumia akili akakaa kimya!kuna hatari Yale ya ndani yakaekwa hadharani,plz jide usijibu hilo tusi, plz
Shida yako kiwango ilichofika kikali kwakweli..mana nimecheka mno eti kutokana na kumiss baadhi ya mambo humu majukwaani umekonda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenzio nna shida halaf unanicheka tena, hata bana
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.
"Sina neno na yule mtoto wa kike, nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hv"
Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.
VIDEO:
=====================
Update;
=====================
View attachment 345970
Siku ya harusi ya Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee na Mtangazaji wa Clouds FM Gardner G Habash.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla ameingilia kati Ugomvi wa Judith Daines Wambura Mbibo(Lady Jay Dee) na aliyekuwa Mume wake Gadner .G. Habash.
Naibu Waziri ametoa rai kwa uongozi wa Clouds Media kumuomba radhi msanii Lady Jay Dee, kufuatia kauli iliyotolewa na mtangazaji wake Gadner G. Habash kuongea mbele ya kadamnasi akimtusi mke wake wa zamani Lady Jay Dee.
"Ndg. Gardner amefanya udhalilishaji mkubwa si tu kwa Jide Jaydee bali ametukana Wanawake wote. Mimi #BaloziWaWanawake namtaka aombe radhi
Natoa rai kwa uongozi wa Cloudsfm kumtaka Ndg. Gardner afute kauli yake na aombe radhi kwa Jide Jaydee na kwa umma ili kulinda heshima yao" Kigwangallah amesema.
Sifa mojawapo ya kupaniki ni kutoka nje ya mada,wewe ndiye wakushauriwa USIPANIKI.Usipaniki kawaida tu.