Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye rangi nyekundu. Una uhakika gani?Jamaa nilimuona wa maana kumbe poyoyo. kalishwa miaka yote na lady jdee, kweli shukrani ya punda ni mateke. ametudharaurisha wanaume wote, shenzi type gadner akili ndogo kama za nyumbu. watu tumesha achana na wanawake tena very pontential na tulikuwa wapole na kuendelea kuwaheshimu na wengine tunawakomalia mechi za kando tunapewa
Hichi ndio kitakuwa kipimo cha ukomavu wa Jide!! Atajibu kwa kupanic au atawekeza nguvu zake kwenye show yake ya Mlimani City!!mmh ila kwa hili neno jide alipo huko??sasa hapo asipotumia akili akakaa kimya!kuna hatari Yale ya ndani yakaekwa hadharani,plz jide usijibu hilo tusi, plz
Pole mkuu! Ulitusua nini mpaka uhisi una-ban?Jamani hili sijui ndio ban au vipi nisaidie wajuzi wa mambo siwezi kutuma chochote naweza kukoment tuu na hili tatizo linawiki mbili
jide hana ukomavu, mtu wa hasira na chuki, jide kama mnakumbua vizuri yeye ndio alianza hii vita ya kumdiss ex wake, mwanamke mwenye busara au mwanaume hawezi kwenda kungea public kila mara mambo ya kwenye uhusiano wake uliopitaHichi ndio kitakuwa kipimo cha ukomavu wa Jide!! Atajibu kwa kupanic au atawekeza nguvu zake kwenye show yake ya Mlimani City!!
Ndio mtulie sasa dawa iingieOkaaaaay! Umesomeka na kueleweka
Jide huyu wa ndi ndi ndi au yupi..?!Plizzzzzz JIDE usijibu,nakuomba sana.
Ndiye yeye.Jide huyu wa ndi ndi ndi au yupi..?!
Hawezi kukaa kimya yule ni lopo lopoNdiye yeye.
Kama atajibu atapoteza kitu kwangu kama ambavyo Habash kapoteza.Hawezi kukaa kimya yule ni lopo lopo