realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
J D,na wewe mwambie umemlisha kwa miaka 15 hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamepaniki kweli umu ndani kusikia Commando amekojozwa kwa miaka 15 [emoji23][emoji23] mwambieni dada yenu aache ujeuri hapa juzi kasema yeye ndio kamuacha Gadna mkashangilia kweli ila kwa kua ndio ukweli G kapiga kimya leo G kasema ukweli kua Anaconda kakojozwa povu linawatoka,vumilieni ndio haki ilivyo hata kama inauma kausheni mbona Jide kashfa anazitoa kwenye media pia.
Alafu watu wamekomaa kua Gadna mariooo ila wanasahau jamaa ana kazi yake na kipato chake hata kabla hawajaoana na Jide alafu mkumbuke Gadna kafanya kazi na Jide kama familia kuendesha band nk na jamaa alijitoa kafara clouds fm ili awe upande wa mkewe.
Jide ni mwanamke ambae ana matatizo sana acha anyooshwe kila siku analalama yeye kuonewa,kaja na kisu kamkuta Gadna na Shoka haaaaa haaaa simple and clear Komando KAKOJOZWA miaka 15 asante captain kwa kumtuliza ukae kimya wakati unasimangwa akirudi rusha jiwe lingine.
Hivi umeisikiliza kweli?Inawezekana ni video ya kipindi Gadna akiwa EFM, ni muhimu kujua kama ni kweli kwa sababu katika hali ya kawaida mwanaume kuja na hiyo kauli lazima tujihakikishie kabla hatujatoa maamuzi ya either kumtoa kwenye chama au kubaki.
Hiyo ni kauli dhalilishi kwetu wanaume na kwa wanawake pia.
Hivi umeisikiliza kweli?
Basi fanya hivyo maana majibu yote yako kwenye video ungeisikiliza usingeyaulizaSijaisikiliza ndo maana nataka kujiridhisha kabla ya kusema chochote.
Basi fanya hivyo maana majibu yote yako kwenye video ungeisikiliza usingeyauliza
Huyu anakurupuka sana..siku moja atakuja kuingilia hadi magomvi ya team wema na diamond [emoji53]Haya tamko limeshatoka![]()
Ilikuwabimetoka na jide alienda kufanya interview kuitambulisha na hata kipindi alichokuwa gadner ulikuwa ukipigwaGadna akiwa Efm nyimbo ya Ndi ndi ndi ilikuwa bado haijatoka
wimbo ni wimbo tu mapokeo ndo mabayaNa ule wimbo wa mtalimbo jeeday alimwimbia nani?
Jamaa kachemsha! In fact katokotesha. Nimesikiliza ile clip nimeshindwa kuamini; Unless he was "under the influence" of some sort. Kama nia yake ilikuwa ni kumdhalilisha Jide, imekula kwakeKauli hyo angeongea mtu ambae hana uzoefu,everybody knows kuwa alikuwa mke wake so lazima washiriki tendo kulikuwa na haja gani ya kuzungumza tena public,kuna maceleb wetu kupewa elimu ya kuwa na privacy ya maisha yao,sio kila kitu kuweka kwenye social network au kukizungumza,watu wako interested na kazi yake sio maisha yake,