Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Mimi nimemsikia Gardner akisema hababaishwi na yule mtoto wa kike... amemkojoza kwa miaka kumi..... lakini mpaka mwisho hakumtaja mtu

Daah yamekua ndo mambo ya hovyo hivo
 
Jamaa nilimuona wa maana kumbe poyoyo. kalishwa miaka yote na lady jdee, kweli shukrani ya punda ni mateke. ametudharaurisha wanaume wote, shenzi type gadner akili ndogo kama za nyumbu. watu tumesha achana na wanawake tena very pontential na tulikuwa wapole na kuendelea kuwaheshimu na wengine tunawakomalia mechi za kando tunapewa
 
Unafiki wa kiwango cha juu sana, kwa nini hakuanza na yule mbunge wa ulanga kule bungeni alie anza kuwaakosea heshima wanawake? Anakuja kwa Gadna kwa ajili gani labda? Na wataendelea kutukana sana huku uraiani kwa kuwa bunge limebriki hayo.
 
Huyu waziri anajidhalilisha. Those are petty issues za akina shigongo. Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Huku Tandale, wanaume kwa wanawake wanadhalilishana kila kukicha, tena kwa kutumia ngoma na maturembeta. Nani atawasemea hao akina mama wa Tandale wanaodhalilishwa kwenye hiyo mitandao yenu ya twitter, instagram na facebook??? Namshauri Mh.Waziri ajikite zaidi katika kutatua changomoto za vifo kwa akina mama vinavyotokana na uzazi.
 
Eti kamkojoza miaka 15 haaa haaa wanaume wa Dar ni shida hawana brake ya mdomoni wanabwatuka utadhani Bata kafanya mambo yake.
 
Hajitambui , alitaka mke wake akojozwe na nani kama sio yeye. Mxiuuuuuuu
Apo chacha!!! Kwanza ana uhakika gani kuwa alikuwa anafanikiwa kweli kumkojoza bana? Mwanaume timamu kamwe hawezi kujisifia kwa maswala ya ngono tena kwa uropokaji huo!
 
Apo chacha!!! Kwanza ana uhakika gani kuwa alikuwa anafanikiwa kweli kumkojoza bana? Mwanaume timamu kamwe hawezi kujisifia kwa maswala ya ngono tena kwa uropokaji huo!
Vijembe awaachie wanawake. Jide akimpiga vijembe sitashangaa sana. Lakini mwanaume halisi kabisa vijembe havipendezi, ni kujidhalilisha sana. Mwanaume anapiga vijembe kwa vitendo na si kwa maneno!
 
Waziri huyu alifanya ziara ya kushitukiza kwa docta mwaka, ana mambo huyu.
 
Atakuwa hajamkojoza. We women do fake orgasms many times. Hasa kama humfeel mtu.
 
nimekumbuka mbali miaka hiyoo first year niliposoma somo la COMMUNICATION SKILLS: tulifundishwa mengi ila nakumbuka hili: disadvantage of verbal communication: kwamba hasara mojawapo ya mawasiliano ya kutoka kinywani ni kwamba neno likishatoka huwezi kuli edit, ni kama jani likidondoka kwenye mti haliwezi kurudi: sasa huyu Garder hata wakimshinikiza atengue kauli ndio keshasema hivyoooo
 
Sasa afute kauli yake aseme hakuwa anamkojoza kwa miaka 15 au?
Hao waachiwe wenyewe
 
Back
Top Bottom