Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Jayde katuaminisha kwamba maneno ya gadner kumkojoza yalikuwa ni ya ukweli ... baada ya kuachana na Gardner akakosa wa kumkojoza hivyo basi ameona isiwe kesi ni bora arejee kwa Gardner ili aupate utamu

Nakumbuka walipoachana alimpa tuhuma nyingi sana kuwa Gardner ni mlevi ..ni malaya alikuwa anatembea mpaka na wafanya kazi wao ..

Lakini baada ya kukaa na kukosa wa kumkojoza miaka mingi ....ameona sio kesi ni bora arejee kwa Gardner yupo tayari kuvumilia kadhia zake zote lakini awe anapata mkojozo tu ....

Daahh kweli kukojozwa sio kitu cha mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu waliamini Gadner hana lolote, hizi bata za mjini anazokula anabebwa na Jide. Cha ajabu baada ya kuachana Jide ndo ametetereka huku Gadner mambo yake yakizidi kumnyookea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 345970
Siku ya harusi ya Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee na Mtangazaji wa Clouds FM Gardner G Habash.
Niliwahi kuandika Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Wanabodi,

Jee Roho za Waliokufa Zinaweza Kuwaita Walio Hai?.
Jibu ni yes, ndio maana kwa baadhi ya mila, wamama wajawazito hawaruhusiwi kwenda makaburini, ili waliolala wasije wakaviita vichanga, na matokeo yake vikaitika na kupata still born.
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa Soul Mates, na hii ndio subject matter ya uzi wangu huu.

Hitimisho.
Kwa vile kwa sisi binadamu wote hapa duniani tuko safari tuu, kuelekea kwenye makao ya milele na maisha ya milele, tusiwalilie waliotangulia na kuhuzunika saana kwa kuwakosa, tuhuzunike kibinaadamu, kwa kulia kwa kiasi tuu, kisha maisha ni lazima yaendelee, bali pia tujiangalie sisi wenyewe, kwa nafsi zetu, jee tumejiandaa kuitika wito wakati siku yetu na saa yetu ikitakapofika?.

Kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala saa.
RIP Ephraim Kibonde na Ruge Mutahaba na wengine wote waliotangulia, nyinyi mbele sisi tuko nyuma yenu, sote sisi ni wa Kwake na Kwake tutarejea.

Paskali
Marafiki waliotangulia, wanazidi kuitana...

View: https://youtube.com/shorts/KMVmvFPjui4?si=G28gCVGn1VUc-Jbr
Rip Gadner G Habash
P
 
Back
Top Bottom