screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Watu waliamini Gadner hana lolote, hizi bata za mjini anazokula anabebwa na Jide. Cha ajabu baada ya kuachana Jide ndo ametetereka huku Gadner mambo yake yakizidi kumnyookeaJayde katuaminisha kwamba maneno ya gadner kumkojoza yalikuwa ni ya ukweli ... baada ya kuachana na Gardner akakosa wa kumkojoza hivyo basi ameona isiwe kesi ni bora arejee kwa Gardner ili aupate utamu
Nakumbuka walipoachana alimpa tuhuma nyingi sana kuwa Gardner ni mlevi ..ni malaya alikuwa anatembea mpaka na wafanya kazi wao ..
Lakini baada ya kukaa na kukosa wa kumkojoza miaka mingi ....ameona sio kesi ni bora arejee kwa Gardner yupo tayari kuvumilia kadhia zake zote lakini awe anapata mkojozo tu ....
Daahh kweli kukojozwa sio kitu cha mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app