Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Nadhani ishu ya kujua ni lini kauli imetolewa ni ya msingi pia, Kama alikuwa Clouda au lah, Ila msela Naona ustaaaaarabu na ustaaaa wake Kama hauko tena vile, na je Kafuta kweli kauli???
 
Hivi huyo waziri ana akili timamu kweli. Yaani katika yooote kaliona hilo tuu. WTF is he doing in the office .?
 
That was not necessary,mambo ya ndani ya ndoa kuongelea jukwaani ndio nini!!!! Mfyuuu

Mbona hamuongei kuhusu JD kumtungia singo kabisa na kumpotray katika shooting.?

Kama ingekuwa JD hajamtungia nyimbo nk ningesema gadna kakosea, lakini kaanzwa kuchokozwa, JD vita kavitafuta mwenyewe Gadna kufight back ni halali yake.
 
Huyu waziri anajidhalilisha. Those are petty issues za akina shigongo. Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Huku Tandale, wanaume kwa wanawake wanadhalilishana kila kukicha, tena kwa kutumia ngoma na maturembeta. Nani atawasemea hao akina mama wa Tandale wanaodhalilishwa kwenye hiyo mitandao yenu ya twitter, instagram na facebook??? Namshauri Mh.Waziri ajikite zaidi katika kutatua changomoto za vifo kwa akina mama vinavyotokana na uzazi.

Ni kweli Mkuu Gadner hajafanya kitu cha kistaarabu ila vipi mbona kuna wanawake wengi sana wanadhalilishwa tena zaidi kupita hata hawa watalaka na hakuonyesha kujali
 
Na huyu Kigwangala naye aache kutafuka kiki... juzi mbunge wa ccm mwenzake kawatukana wabunge wanawake wa upinzani kwamba wamepata nafasi zao kwa kuuza uchi hajasema kitu, leo anaibuka kumtetea Jide??

asante mkuu sina haja ya kucomment tena umeongea ya moyoni kwangu
 
jamaa kakosea, waliishi sirini na ayaafanye kuwa sirini...coz jide akiibuka hapa tutayajua mengi.....halafu 15yrs ulishindwa kumjaza kibendi....15 yrs ngono tuuuuu,,sorry tendo pendwa la ndoa tuuuu....futa kauli fasta..G..
 
Kumbe Gadner anajua kumkojoza mwanamke? Hongera zake maana wanaume wengi wa Dar hawawezi kumkojoza mwanamke sababu yakula chips mayai na kuku wa kizungu, shame on you wanaume wa Dar
hahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
jamaa kakosea, waliishi sirini na ayaafanye kuwa sirini...coz jide akiibuka hapa tutayajua mengi.....halafu 15yrs ulishindwa kumjaza kibendi....15 yrs ngono tuuuuu,,sorry tendo pendwa la ndoa tuuuu....futa kauli fasta..G..
Hapo sasa angekua mkojozaji miaka kumi na tano c mchezo watoto bwelelee
 
ivi najiuliza ni wanwake wangapi wanadhalilishwa na waume zao wao wako kimya?
hivi jide anstahili utetez wa waziri mtu anayeweza kumpa kichambo mtaliki wake kwenye nyimbo zake?
hivi mbona sijaona yale matusi kama ya...........ya mama yako yanayodhalilisha wanawake ambayo huwez kupita siku usiyaskie yakitamkwa yakitolewa kauli kali?
 
Kwani Gadna angenyamaza ingekuwaje? wengi tunajua kwamba akiwa meneja wake alisaidia sana JD kuwa kwenye chati zaidi, tunajua kwamba aliacha kazi cloud ili kuthibitisha na kumsupport mkewe kwenye kadhia hiyo. Vilevile tunafahamu kuwa Gadna alipata ofa nzuri tu za kazi lakini alikataa ili kuwa karibu na JD. Hivyo basi JD kwa kumuimba ex hubby kwenye nyimbo ndi ndi ndi kwa tunaofahamu mambo haya tuliona kuwa hiyo ni sydrome ya a Jilted woman na ingekuwa busara sana kwa Gadna kunyamaza kimya ili ibilisi apite na mwisho wa siku angekuwa mwanamume zaidi kwa kutomponda ex wake.
 
Watakuwa wamekosea sana wakiutoa maana hii story itakuwa kubwa sana wiki mbili hizi.

Unajua komando hawezi kukubali ipite hivi hivi lazima amjibu kwa mtindo wowote.

Naona kama hiyo ndi ndi ndi inamhusu La Captain!
 
Hivi nini maana ya kukojozwa alikoongelea huyu ndugu?
 
Hii ni Marketing Strategy ya upcoming JD's Show. Gardner ame create drama ili kila mtu now amuongelee JD na kumuonea huruma na ndio hapo watu watataka kujazana kwenye show. Hata kama hawapo pamoja but mkumbuke Gardner hajawahi kujibu vijembe vya JD hata siku moja, kwanini aongee hivyo kipindi hichi? kumbukeni yeye ndio alikua ana market kazi za JD wakati wako wote so mnaona kamdhalilisha ila nina uhakika anajua anachokifanya ana Marketing skills na hii ni moja wapo. Miaka 15 ya ndoa si kidogo hata kama wameachana ila chembechembe za hisia bado wote wanazo. Wakirudiana sijui watu watameza matapishi yao humu ndani au vipi?
 
Who cares?
 
Kula nchi mwanawane.

1462993046957.jpg
 
Back
Top Bottom