certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 814
JD aliimba TEJA WA MAPENZ kumbe uteja ulitokana na kukojozwa haaaaa haaa asante gardner
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa. Ulimi kiungo kidogo lakini usipokuwa makini unakudharirisha. Kaonesha udhaifu mkubwa sanaUkibarikiwa kuwa na kipaji cha kuficha ujinga ni jambo la kumshukuru Mungu, sio kila MTU anacho. Hayo maneno yanaonyesha anaugomvi nae.
Sheria ianze na huyu iwe fundishoMkuu, kuna uzi ulianzishwa jana kuhusiana na hili. Kajisomee maoni ya wanajamvi. Wapo waliosema jino kwa jino kwani Jide aka Komando na yeye huwa kwa "mipasho hajambo". Mie nasema kuna tabia za kike na za kiume, hilo halina ubishi; sasa mwanamume anapoanza kuleta tabia za kike-kike kidogo inaleta ukakasi. I like my men COOL and COMPOSED; Asprin upo baba??
Ndugu yangu, nani atamwajibisha? Basata ndio hao tunaowajua!Habari wanandugu!
Kutokana maneno aliyo tamka aliyekuwa mme wa mwanamziki Jay dee! ni maneno ya aibu kutamkwa hadharani na mtu mtangazaji ambae anapaswa kuwa kioo kwa jamii! kutokana na udhalishaji huu unaondelea kwa wanawake,naomba achukuliwe sheria kali huyu mtangazaji ili iwe fundisho kwa wanaume kama hawa; kitendo cha kumtamka maneno kama yale hadharani ilikuwa si tu kumdhalilisha mwanamke huyu bali ni kuharibu hata maadili ya watoto wanaohoji neno "kamkojoza" lina maana gani? je ni mambo ya chumban? au kamkojoza akiwa kama dakital kwakuwa alikua mgonjwa asiyekojoa?.nashauri Dawati la jinsia na haki za wanawake na watoto anzeni kwa kumtia adabu huyu mtangazaji! tena kama ikiwezekana afungiwe kuwa mtangazaji hapa nchini, hii haitofautiani sana na video ya snura, kwani ile ilikuwa ni picha sasa ya Gadner ni maneno ya kingono tena yenye kudhalilisha utu kinyume na katiba ya jamhuri inayoheshimu na kulinda utu.
Unakula kunywa na kulala cku zinaenda.....Kumbe ndio maana aliimba wanaume kama mabinti, na uhakika ilikuwa ni kijembe kwa mshikaji.
safi sana .. mwwanaume kama binti huyo wala asitupotezee mudaUnakula kunywa na kulala cku zinaenda.....
Hii inaitwa kkkb-
Kula
Kulala
Kunya
Bure.
Yah uko sahihi mwanaume ambaye amestaarabika na kuishi na mwanamke miaka 15 hawezi tamka maneno hayo hadhalani niushamba na hasira isitoshe anaumia bhado anatamani kuendelea kuwa nae ila ndio hivyo tena