Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Kinachopi
Hamna kesi hapo..!!
Tujiulize kwanin Gadner alikuwa kimya muda wote Jd akiongelea mambo yao ya Ndoa na kuachana..?! Kwanin kaamua kumjibu vile kwa sasa...?! (Hasira zilizolimbikizwa).

Huenda kosa analo huyu tunaemtetea kuwa amedhalilishwa, mana angekaa kimya kama mwenzake, huenda haya yote yasinge mkuta ..!!
Kinachopingwa ni udhalilishaji na si chanzo ni nini
 
Hao bado wanapendana! Nyie chongeni midomo siku wakirudiana mtaficha wapi sura zenu!? Kumbukeni movie ya Mbasha na Flora..
 
Mi naona kajidhalilisha yy kuongea mineno hiyo jukwaani wkt Walikuwa wanalala uchi wote
Kweli kabisa...kajidhalilisha yeye mwenyewe kwanza kama mimi mwanamke sitataka kutoka na mwanaume kama huyo.sasa mtaona wanawake wajinga hapa mjini watakuwa wanamtaka kufikiria ana hela hawatajali kama aliongea upuuzi kwa stage
 
Amesema kamkojoza kwa takribani miaka 15. Mnachonga sanaaaa! Kasema kwa ustaarabu tu! Je angesema amemkojolea miaka 15 hv si mgevimba na kupasuka! Acheni hizo bhana
 
Vijembe wameanza kupigana muda mrefu nahisi huyu dada ndio mchokozi, hata ule wimbo wa YAHAYA UPO WAPI, alikuwa anamponda mshikaji wacha na yeye amkere kidogo.
 
Dah, aisee. Hii shughuli. Hakuna vitu vya maana vya waziri kuingilia mpaka haya mambo ya wapenzi hawa. Duh!
Ndio maana Tundu Lissu amesema hawa mawaziri hawajapewa job description.

Mtu katoka kaenda kwenye ma disko ya usiku kutukanana na wake zake wa zamani we waziri unasema mwajiri wake amwambie aombe msamaha. Mwajiri anahusika vipi?
 
Watakuwa wamekosea sana wakiutoa maana hii story itakuwa kubwa sana wiki mbili hizi.

Unajua komando hawezi kukubali ipite hivi hivi lazima amjibu kwa mtindo wowote.

POPOTE ULIKO JIDE...

NAOMBA USIMJIBU HUYU KIJANA MPAKA SIKU YA ONESHO LAKO TUJE UTUPE JIBU HAPOHAPO UKUMBINI...MWAGA RADHI KABISAAAAA TUJUWE KWELI ALIKUWA NAKUKOJOZAAAA AU WEWE NDIO ULIKUWA UNAMKOJOZA?....

AKIMWAGA MBOGA MWAGA UGALI MKUNAJI KAROPOKWA SASA ZAMU YA MKUNWAJI KUSEMA UKWELI KAMA KWELI ALIKUNA KIPELE UKASIKIA RAHA AU ALIKUPAPASA AKASIKIA RAHA AKAJIKOJOZA MWENYEWE NA AKAISHIA KUJISIFIA MWENYEWE.

ILA PIA KAMA ALIKUKOJOZA NA UKAKOJOA KWELIII...BASI SIKU HIYO PIGA WIMBO MAALUMU WA KUMSHUKURU MKOJOZAJI ILA UMWAMBIE AACHE TABIA ZA KIKE...KILA MWANAUME ANAYE ANAYEMKOJOZA ILA HATUTANGAZII UMMA.
 
Hii kitu imetokea katika shindano la kumsaka miss TIA(chuo cha uhasibu) tar 6/05 Ijumaa,Gadner akiwa ndio host wa show hiyo
 
Hivi huyu Kigwagwalah alipewa uwaziri kwa sifa zipi hasa? Ukanda au udaktari wa binadamu? Au uwezo? Too low kwa waziri kudandia hadithi za vijiweni, ndio maana mpaka karne hii nchi inahangaika na mambo ya sukari na si maswala ya sayansi na teknolojia, kama mawaziri wenyewe ndio hawa nampa pole Magufuli hatofanikiwa dhamira yake.
 
Hii kitu imetokea katika shindano la kumsaka miss TIA(chuo cha uhasibu) tar 6/05 Ijumaa,Gadner akiwa ndio host wa show hiyo
Etiiiiiii?Daah! Yaani bora hata hayo maneno yangemtoka akiwa MC kwenye "Mieleka" na sio kwenye shughuli ya wanawake halafu unatoa maneno ya kuchefue hivyo!!! Na haijalishi kama alimaanisha Jide, mama watoto wake, au yoyote ambae alikuwa na mahusiano nae; alichofanya ni utoto/ushamba wa hali ya juu!!
 
That was not necessary,mambo ya ndani ya ndoa kuongelea jukwaani ndio nini!!!! Mfyuuu
 
Ndo mjipime akili mnaopenda kusilikiliza cluods, redio la machizi
 
Lakini hajamtaja jina nashangaa nyie mnaotaja jina!
Unless "huyo mtoto wa kike" ndio jina la jide hapo sawa
 
Hivi huyu Kigwagwalah alipewa uwaziri kwa sifa zipi hasa? Ukanda au udaktari wa binadamu? Au uwezo? Too low kwa waziri kudandia hadithi za vijiweni, ndio maana mpaka karne hii nchi inahangaika na mambo ya sukari na si maswala ya sayansi na teknolojia, kama mawaziri wenyewe ndio hawa nampa pole Magufuli hatofanikiwa dhamira yake.
Yaani nimesoma comments zote humu lakini sikuona comment nzuri kuipita hii ya kwako! Keep it up maana sin namna ya kukuwekea likes hata mia moja
 
Back
Top Bottom