Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Heheheee naibu waziri anaingilia ndoa za watu naona jipu kwa mbaaaliiii...
 
Waziri Dr. Kingwangala ametoa ushauri kwa Clouds kua wamuombe msamaha au wamtake radhi Jay Dee kutokana na kauli ya mtangazaji wao G.Habash kusema kuwa kamkojoza kwa takribani miaka 15

Hapa Kingwangala amekurupuka na nadhani pia ni kutafuta kick juzi tu hapa kuna mbunge wa CCM kawadhalilisha wanawake Dr. Kingwangara hajatoa tamko lolote lile ameona hili la Jide atapata air time maana zile ziara za kushitukiza hazipo tena

Pia baadhi ya wanaume tuache upumbavu wa kutetea wanawake wapumbavu, Jay Dee alizidi huyu mwanamke alijiona anaweza kupambana na mwanaume yoyote hapa Tz kasema mengi sana kwenye ndi ndi ndi Habash kasema neno moja tu njemba zimepanic

Dawa ya bishoo ni kua bishoo zaidi yake...
 
Linatokana na neno kojoa....=kojoza =mara nyingi
Hivyo basi..yeye amemkojoza mara kadhaa...ikiwa na maana kwamba kuna kitendo hufanyika ili yeye apate...kukojoa.....eeeh mmmh na tukienda mbaali zaidi...si mkojo huu unaoufahamu....ni mkojo wa wa watu wazima.....
Hapana aisee. Kojoza= kumfanya akojoe
 
Hivi huyo Gadna kamtaja mtu au ndo watu kujishuku na kushuku tu?
N.N na wewe usichokoze watu jamani😉. Kwani mpaka kutajwe jina, mbona maswala mengine yako wazi tu mkuu. Yaani kwa mfano Jerry Muro akiamua kuiita timu "fulani" wa matopeni, kutakuwa na haja kweli ya kuuliza anamaanisha timu gani?😛
 
Yan kwangu avatar za watu hazionekan, pm hainekan, sehemu ya like haionekan, huo upande uliosema wapo mods siwaoni, Picha hazifunguki, Yan Ni balaa Boss, embu nisaidie Mkuu
We umenichekesha sana loh...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
N.N na wewe usichokoze watu jamani😉. Kwani mpaka kutajwe jina, mbona maswala mengine yako wazi tu mkuu. Yaani kwa mfano Jerry Muro akiamua kuiita timu "fulani" wa matopeni, kutakuwa na haja kweli ya kuuliza anamaanisha timu gani?😛

Katajwa mtu au hajatajwa?
 
Jamaa kachemsha! In fact katokotesha. Nimesikiliza ile clip nimeshindwa kuamini; Unless he was "under the influence" of some sort. Kama nia yake ilikuwa ni kumdhalilisha Jide, imekula kwake
Nia yake ilikuwa ni kumdhalilisha kama yeye alivyodhalilishwa toka ndoa ilivyokufa na nafurahi lengo lake limetimia regardless ya njia aliyotumia

Si unaona jinsi povu lilivyowatoka sasa kama "mambugila"(mashabiki wake) wamepaniki hivi jiulize huyo jd itakuwaje?

Massage sent regardless....
 
ndo hvyo kwa kuwa wanaume hatukuumbiwa kuongea maneno mengi kama wanawake ila mwanaume sasa akiongea kidogo tuu ndo yanatokea kama haya.

wenyewe wanasema kadhalilishwa.. basi na. nasema kadhalilishwa ila nasema kwa kufwata mkumbo tu wa wengi tuu
 
Ukimwacha dem afu unamwongelea maanaake bado unamfeel kama kweli humtaki habari zake tupa kule.
Gadner kumbuka huyo alikua mkeo na kama mlikaa miaka 15 ni mingi sana unatakiwa kumuheshimu mbona yeye sijasikia akikutukana.
Mi mwenyewe nimeachana na madem kibao lakini sijamtusi ata mmoja ko jifunze kuwa mtu mzima cuz utu uzima dawa.
 
Nia yake ilikuwa ni kumdhalilisha kama yeye alivyodhalilishwa toka ndoa ilivyokufa na nafurahi lengo lake limetimia regardless ya njia aliyotumia

Si unaona jinsi povu lilivyowatoka sasa kama "mambugila"(mashabiki wake) wamepaniki hivi jiulize huyo jd itakuwaje?

Massage sent regardless....
Okaaaaay! Umesomeka na kueleweka
 
Back
Top Bottom