Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Jide kubali ndio alikukojoza Kwan mlioana kwa lengo hilo wala usibabaike mshangae tu kwa kauli yake ya wivu Kwan maneno hayo ni kujidharirisha yeye kwani yeyw alikuwa hakojoi na kuhema
Foolish Gardner and your fellows clouds pigs
 
Kama atajibu atapoteza kitu kwangu kama ambavyo Habash kapoteza.
Kama mpaka leo kwa hili saga la ndoa yao huyo jide hajapoteza kitu kwako basi una double standard mi naita unafki(samahani kwa lugha hiyo) wa hali ya juu sana...

Au labda hukuwahi kufatilia ugomvi wao hapo kabla.
 
well said mkuu, gadna amekuwa akikwepa sana kumzungumzia jide lakini jide kutwa kumpiga vijembe hasa insta... watu kimya lakini g akifunguka tu watu wanamjia juu. jide naye aache ukorofi bhana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Kujibizana na mwanamke hatomaliza bora ampuuze tu mwisho jde akiona hajibiwi atanyamaza
 
Dah, aisee. Hii shughuli. Hakuna vitu vya maana vya waziri kuingilia mpaka haya mambo ya wapenzi hawa. Duh!
 
Kama mpaka leo kwa hili saga la ndoa yao huyo jide hajapoteza kitu kwako basi una double standard mi naita unafki(samahani kwa lugha hiyo) wa hali ya juu sana...

Au labda hukuwahi kufatilia ugomvi wao hapo kabla.
Asante sana kwa kuniita mnafiki,mimi napenda nikuite MWEREVU uliyebobea.
 
Kumbe Gadner anajua kumkojoza mwanamke? Hongera zake maana wanaume wengi wa Dar hawawezi kumkojoza mwanamke sababu yakula chips mayai na kuku wa kizungu, shame on you wanaume wa Dar
Hahhahaha,,,,kutwa mida ya jion wamejazana asee..daah nazionea huruma hizo mbo zao kila siku wapokea mafuta
 
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina neno na yule mtoto wa kike, nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hv"

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.

VIDEO:

=====================
Update;
=====================

View attachment 345970
Siku ya harusi ya Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee na Mtangazaji wa Clouds FM Gardner G Habash.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla ameingilia kati Ugomvi wa Judith Daines Wambura Mbibo(Lady Jay Dee) na aliyekuwa Mume wake Gadner .G. Habash.

Naibu Waziri ametoa rai kwa uongozi wa Clouds Media kumuomba radhi msanii Lady Jay Dee, kufuatia kauli iliyotolewa na mtangazaji wake Gadner G. Habash kuongea mbele ya kadamnasi akimtusi mke wake wa zamani Lady Jay Dee.

"Ndg. Gardner amefanya udhalilishaji mkubwa si tu kwa Jide Jaydee bali ametukana Wanawake wote. Mimi #BaloziWaWanawake namtaka aombe radhi

Natoa rai kwa uongozi wa Cloudsfm kumtaka Ndg. Gardner afute kauli yake na aombe radhi kwa Jide Jaydee na kwa umma ili kulinda heshima yao" Kigwangallah amesema.

Hapa ndipo nisipomuelewa kigwangala, haya kayaona na yale ya bungeni kwake ( ya mbunge wa CCM kutoka ulanga) hakuyaona?. Au kaqsemea pembeni kama kawaida yake?
 
mmh ila kwa hili neno jide alipo huko??sasa hapo asipotumia akili akakaa kimya!kuna hatari Yale ya ndani yakaekwa hadharani,plz jide usijibu hilo tusi, plz
Jibu jide jibu wawwa wawwaa wawwa
 
Mwenzio nna shida halaf unanicheka tena, hata bana
Shida yako kiwango ilichofika kikali kwakweli..mana nimecheka mno eti kutokana na kumiss baadhi ya mambo humu majukwaani umekonda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina neno na yule mtoto wa kike, nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hv"

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.

VIDEO:

=====================
Update;
=====================

View attachment 345970
Siku ya harusi ya Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee na Mtangazaji wa Clouds FM Gardner G Habash.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla ameingilia kati Ugomvi wa Judith Daines Wambura Mbibo(Lady Jay Dee) na aliyekuwa Mume wake Gadner .G. Habash.

Naibu Waziri ametoa rai kwa uongozi wa Clouds Media kumuomba radhi msanii Lady Jay Dee, kufuatia kauli iliyotolewa na mtangazaji wake Gadner G. Habash kuongea mbele ya kadamnasi akimtusi mke wake wa zamani Lady Jay Dee.

"Ndg. Gardner amefanya udhalilishaji mkubwa si tu kwa Jide Jaydee bali ametukana Wanawake wote. Mimi #BaloziWaWanawake namtaka aombe radhi

Natoa rai kwa uongozi wa Cloudsfm kumtaka Ndg. Gardner afute kauli yake na aombe radhi kwa Jide Jaydee na kwa umma ili kulinda heshima yao" Kigwangallah amesema.

leo ndo nazidi kuamini ya Mb.GODBLESS LEMA aliyotoa Bungeni mwaka 2015 wakati akichangia bajeti ya Nchi ofisi ya Rais
alisema hii serikali mawaziri wote hawana vision zaidi wanalojua jukumu lao ni kusaini tu ofisini

Najiuliza hivi kauli iliyotolewa bungeni kuwa wabunge wa chadema wamepata ubunge kwa rushwa ya ngono na hiyo Ya gardner ipi ni udhalilishaji????

Kilichopo GARDNER kasema ukweli wake kuwa Kamkojoza ina maana kamfikisha kileleni kwa zaidi ya miaka hiyo waliyoishi sasa tatizo nini kama alikuwa anamfikisha??

Huyo waziri ningemuona kweli ana ifahamu kazi yake endapo angemtaka mbunge wa ccm afute kauli yake na amwagize spika ampe adhabu ila sio kuingilia mambo ya watu binafsi

napata wasiwasi inawezekana kuwa huyo waziri ni mchepuko wa jaydee ndo maana anamtetea

Ninachotaka kufahamu Je GARDNER anapaswa aombe radhi kwa kumkojoza jydee au aombe radhi kwa kusema ukweli maana unaposema afute kauli unataka aseme sijamkojoza na kama hamjakoza basi ni mwanaume ambae hajakamilika maana wanaume tuliokamilika tunakojoza wake zetu kila siku.....
 
Ni kweli Gadner katumia Nyundo kumuua Mende, lakin anachoshukuru yeye na mashabiki wake ni kifo cha Mende, maana alizidi usumbufu wa hapa na pale.

Sawa, aombe radhi lakin ujumbe umefika, na sidhan kama Mende watarudia kupita karibu na Nyundo maana mwenye Nyundo hajal maumivu atakayo yapata mkonon anapoua kwa nyundo..!!
 
Mi naona anaweza kuwa ana haja au hana haja ya kuomba radhi,alichokosea ni kuongea live...labda angebaki na hiyo fact isingeweza kubadilisha one thing kuwa infact alikuwa anamkojoza.
 
Back
Top Bottom