Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Huyu gadner ni ntangazaji tu au anahisa na hiyo media... Kama hana hisa basi wafanyakazi wa media hiyo wanaongozwa na IQ ndogo ya huyo kilaza... Sababu mtu mmoja kuwa na ugomvi na kushawishi kundi lote liwe kwenye ugomvi hadi kutopiga nyimbo za msanii huyo kuna shida mahali nahii inaweza kuwa kwa tz tu...
 
Pension,
You may be right in this fracas
 
Sasa si walikatisha itabidi waanze upya!!!
Jayde katuaminisha kwamba maneno ya gadner kumkojoza yalikuwa ni ya ukweli ... baada ya kuachana na Gardner akakosa wa kumkojoza hivyo basi ameona isiwe kesi ni bora arejee kwa Gardner ili aupate utamu

Nakumbuka walipoachana alimpa tuhuma nyingi sana kuwa Gardner ni mlevi ..ni malaya alikuwa anatembea mpaka na wafanya kazi wao ..

Lakini baada ya kukaa na kukosa wa kumkojoza miaka mingi ....ameona sio kesi ni bora arejee kwa Gardner yupo tayari kuvumilia kadhia zake zote lakini awe anapata mkojozo tu ....

Daahh kweli kukojozwa sio kitu cha mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…