Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gadna akiwa Efm nyimbo ya Ndi ndi ndi ilikuwa bado haijatoka
 

Naomba tafsiri iliyo KUNTU kabisa ya neno " amemkojoza " kwani binafsi nimetokea kulipenda ila sijajua tu maana yake.
 
Ni kweli kayasema nimeina video, Lakini kumbuka tangu waachane Jd kaingea mambo machafu sana juu ya Gadna hakuishia hapo kamtungia wimbo jamaa akawa kimya tu, Tuache double standard kwamba Jide ana haki ya kumsema vibaya Gadna na si Gadna kusema lolote.
 
Ukitizama upande wa kulia kwenye huu uzi utaona wameandika "Staff Online" click mmjawapo. Tafuta mmojawapo atakupa maelekezo. Lakini humu JF kulikuwa na uzi unaohusu namna ya kufanya vitu kama hivyo.
Kwezisho.
Naomba nisaidie nikitaka kubold au kuweka rangi kwenye neno wakati wa kukoment nafanyaje ? au na yenyewe niwaulize staff online?
 
Kwezisho.
Naomba nisaidie nikitaka kubold au kuweka rangi kwenye neno wakati wa kukoment nafanyaje ? au na yenyewe niwaulize staff online?
Hapo juu ya huu ukurasa kushoto kuna avator yako na mwisho kulia kuna neno SEND. Natumai umeviona. Katikati ya hivi vitu kuna icons zooote ya kwanza ipo na kitu kama spana, kuna ya pili inahusu kuondoa formating, tatu inahusu bolding, na kuendelea ukiweka kasa juu ya icons itakuelekeza matumizi ya hiyo icon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…