Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Wanaume wa dar wanamatatizo sana yaani madume ya mikoani yanapata heshima kwa kuzalisha wanawake huko dar dar madume yanajisifu eti kukojolesha huu upuuzi mtaucha lini?
 
Kama kweli kasema hivi, ni tusi kubwa sana hata kama ni kweli alikuwa akimkaterero.
 
Wanaume wa dar wanamatatizo sana yaani madume ya mikoani yanapata heshima kwa kuzalisha wanawake huko dar dar madume yanajisifu eti kukojolesha huu upuuzi mtaucha lini?
Tumeshazalisha, sasa hivi tunakojolesha tu wake na mademu zenu wanaokuja huku Tanzania. Kama mtabahatika kurudiana na wake/ mademu Enu, watawaelewesha nini mfanye kuwaridhisha kwa kuwakojolesha.
 
Kibangu unahasira sana na wanaume wa Dar sijui kwanini? Au walikukojolesha nawewe? Maana kila post yk unawasema wanaume wa Dar!Niliandika muda ule kuwaponda wanaume wa Dar ili popote ulipo ujitokeze nakweli umekuja mzimamzima
 
Mmezalisha wapi? Mbona komandoo analalamoka miaka kumi na tano povu tu mnakojoa?
 
Kibangu unahasira sana na wanaume wa Dar sijui kwanini? Au walikukojolesha nawewe? Maana kila post yk unawasema wanaume wa Dar!Niliandika muda ule kuwaponda wanaume wa Dar ili popote ulipo ujitokeze nakweli umekuja mzimamzima

Tatizo hamjaenda jando ndio maana mnabishana na wanawake?
 
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.

Ninayo video ila sijui jinsi ya kuiweka.
chuki na maneno ya mkosaji. Bora waliachana tu maana Kuishi na mwanaume jinga kama hili shida
 
[emoji23][emoji23] akiongea Jide watu wanashangilia ila Captain karusha lake moja tu watu povu kama wamekunywa Omo,Jide ana tatizo kichwani dawa yake apelekwe kinunda kama Gadna anavyofanya maana recently Jide anamnanga sana jamaa acha na yeye achezee za uso.
 
Back
Top Bottom