Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Hivi jide nae akiamua kusema uongo wowote au ukweli wa huko chumbani si ataaibika sana huyu jamaa?Kweli kuna watu na viatu,
 
Kulikuwa kuna tetesi kuwa Gadner alikuwa anapigana kupata sehemu ya mali ya Jide ikiwa kama mafao yake ya ndoa.
 
Uligwankabembe mwaisa?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mwanaume mwenye heshima zake anaweza kuongea huo upuuzi kukojoza manake nini?. Yuko kama hajaenda jando huyu jamaaa sijui Kabila gani vile.
 
1462705556767.jpg
hii hapa video
 
Gadner anatapatapa tu hana lolote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kweli waTz ni wanafki,yule mbunge kasema wabunge wa viti maalum wanaitwa baby ili wapate ubunge watu wamekaa kimya awajasema ni udhalilishaji,ila uyu kasema kamkojoza jidee kwa miaka 15 mnatoa mapovu eti unadhalilishaji.Sijui tulimkosea nini Mungu hadi akatupa hii adhabu ya unafiki

Kwenye swala la wabunge wewe ndo ulie kaa kimya au ulikua upande wa mama spika. Wengi sana walipinga hilo swala au labda kama uli juzwa basi story haikuwa kamili.

Gadna ni baba mtu mzima kabisa... Alie kimbia ndoa yake na kuamua kuishi na Jide... Sasa kujiropokesha mbele za watu na wengine ni watoto wake alitaka nini? Hivi huyo binti yake atamuonaje... Na ubaba wote hata kujiweka sawa bado ana tanga tanga tu!!!!! Aibu kwake
 
Ni kweli kayasema nimeina video, Lakini kumbuka tangu waachane Jd kaingea mambo machafu sana juu ya Gadna hakuishia hapo kamtungia wimbo jamaa akawa kimya tu, Tuache double standard kwamba Jide ana haki ya kumsema vibaya Gadna na si Gadna kusema lolote.
Gadner ni mwanaume atajibizana na mwanamke hadi wapi?
 
Gadner ni mwanaume atajibizana na mwanamke hadi wapi?
Huko sio kumjibu hicho ni kijembe mkuu, ninachosema hapa ni kwamba kwa muda wote walipoachana Gadna kakaa kimya hakutaka kabisa kuongelea hiyo issue ila JD kasema kwenye media mpaka kamtungia wimbo,
Kampa kijembe kidogo nae apunguze machungu,
Kumbuka Juma Nature alimtungia album nzima Sinta walipogombana.
 
Sinema inaendelea! Mdada alilianzisha mwenyewe kwa wimbo wake wa ndindindi!
 
Sasa na Jide akija na kusema hajawahi kumkojoza itakuwaje?

Ila What goes around comes back around alivyoimba tje ndi ndi ndi alitegemea nini?!
 
Huko sio kumjibu hicho ni kijembe mkuu, ninachosema hapa ni kwamba kwa muda wote walipoachana Gadna kakaa kimya hakutaka kabisa kuongelea hiyo issue ila JD kasema kwenye media mpaka kamtungia wimbo,
Kampa kijembe kidogo nae apunguze machungu,
Kumbuka Juma Nature alimtungia album nzima Sinta walipogombana.
Hahaaaaaaa,...nature alitisha ila gadna akae kimya tu akiendelea kuongea nae albamu itamuhusu
 
Huyo kijana hana adabu kwa wanaume wenzake na wazazi wake!![emoji32]
 
Kuna demu alitokea dar akaja mkoani akajidai eti hawez kutembea na mwanaume wa mkoani nami nikakomaa naye baadaye aliingia kwenye line,, nilimpiga pumbu hatariii alilia mpaka nikamshika mdomo alinogewa mpaka alipata mimba na kuzaa dume,, aliniambia akiwa dar alikuwa na uhusiano na wanaume tofauti ila hakuwahi kukojoa lkn baadaye niliamin baada ya yeye kuondoka na kurudi dar lkn akitaka mzigo alikuwa anaupandia new force mpaka mkoan
 
Vita inachochea kukosa uvumilivu lkn jide alianza mwenyewe na wimbo wa ndi ndi ndi sasa mambo yanakuwa
 
Back
Top Bottom