Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

TE="C.T.U, post: 16199308, member: 45112"]Kwa.mwezi 3 m mbona.pesa.ya kitoto sana..?.kuna mburura namjua yuko.redio.flani analipwa 2.5 na sio.legend.kama.gardner[/QUOTE]
Huyo anayelipwa 2.5 kwa mwezi na yeye anatumia laki 1 kwa siku?
 
TE="Rapherl, post: 16199323, member: 89210"]Kwani nimesema ninazo?[/QUOTE]
Hata bila kusema unaonekana huna.
 
Mimi nimesema nina hiyo hela ?si wewe ndio umesema sina,

Mimi nimesema hiyo ni hela ya kawaida kishangaa kwamba mtu anatumia kwa siku.

Na yes nawexa nikaamini gadner anawexa kutumia hiyo hela. Kama wewe huwezi pia sio dhambi

Pole sana.
hiyo hela kwako wewe siyo ya kawaida na huna na ukiendeleza ubishi kifurushi chako cha chuo kitaisha bwa shehe
 
Hongera kwake
Waswahili wanasema "tumia pesa zikuzoee'"

Na bora pesa zikuzoee kuliko uzizoee halafu zikimbie..... Hapo "nge" ndio huanza .. Ni-nge-jua................
 
Nikisikia jina la huyu mshikaji kitu cha kwanza kinachokuja kichwani ni ule wimbo wa jide wanaume kama mabinti sijui kwanini
 
[QUOTRugewr gentleman, post: 16187548, member: 95717"]Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.

Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Huyo Ruge mwenyewe hafikishi mil 2[/QUOTE]
Kwa sasa ndo mtangazaji anaeongoza kwa mshahara mkubwa analipwa million 11
 
Ila yule jamaa anayeondoka na CD kwenye video ya ndi ndi ndi anafanana sana na mtangazaji, kama ni yeye basi asituzuge kuwa anatumia laki kwa siku hata kama laki si pesa
 
mkuu umejitahidi sana kuonesha ukweli ila kuna vitu kama emergencies hujaonesha pesa zake, sadaka atoe jumapili na jumatatu, haugui? .. aargh kuna mengi sana..
 
mkuu umejitahidi sana kuonesha ukweli ila kuna vitu kama emergencies hujaonesha pesa zake, sadaka atoe jumapili na jumatatu, haugui? .. aargh kuna mengi sana..

Lazima anatumia kutokana na anavyopata, utatumiaje hela ambayo huna?! Time will tell..Na kweli mkuu bado mambo mengi mno hapo..Naamini kuna wengine hiyo laki ni ndogo sana..
 
Kwendeni zenu huko, we unalisha maskini wangapi?

Mlivyokuwa mnamsema kwamba analishwa akiwajibu mnandandiana na maneno ya kanga, hata yeye ana moyo WA nyama kama nyinyi......
 
Wakuu, endeleeni kuchangia huu uzi ufikishe angalau comments 300. Keep those comments coming in guys!
#HapaKuchangiaTu
 
Tafuta exposure dogo uwezi kuipata huko Kariakoo.. Mshahara wa milioni 3 unaona mwingi?

Mimi niliipwa huo nikiwa junior position kipindi hicho.

Milioni Tatu sio hela ya kutisha sana... lakini unapoongelea mshahara wa milioni tatu hicho ni kitu kingine kaka,,,, acha ujivuni nilikuwa kwenye ajira kwa miaka 15 ,,,,, watu wanaopokea 3M kila baada ya siku 24/26 sio wengi kihivyo kaka...
sidhani kama Gadner anapokea 3M kwa mwezi aisee japo inawezekana.... najaribu kumuangalia ana impact gani ktk kuiingizia kampuni kwa mwezi sioni,,, waajiri wengi wanampa mtu mshahara kwa kuangalia uwezo wake ktk kuchangia/kukuza kampuni
 
Kwendeni zenu huko, we unalisha maskini wangapi?

Mlivyokuwa mnamsema kwamba analishwa akiwajibu mnandandiana na maneno ya kanga, hata yeye ana moyo WA nyama kama nyinyi......
utakuwa na tabia kama zake....
 

acha bwana!
 
Kipato cha Mtangazaji wa Radio ni kidogo ikiwa utaangalia mshahara lakini watangazaji wa kariba ya Gadna mshahara ni sehemu tu ya mapato yake! Wanapata pesa ya kutosha kupitia jingles na commission ya matangazo! Hizi radio maarufu watu wanazitumia ku-facilitate tu mambo yao ndo maana ukimchukuwa mtu kama kipanya; mara ya kwanza alitoswa Clouds wakati KP Wears ipo juu lakini still KP alilalamika sana kutolewa Clouds cuz in one way or another Clouds ilikuwa in asidi sana kuifanya KP i-shine! Ukitaka kufahamu power ya Clouds kwa watu dizaini ya Gadna; mtafute Kibonde just for your own research halafu mwambie una shughuli yako na ungependa awe MC!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…