Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
Kwani nimesema ninazo?Huna hela wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nimesema ninazo?Huna hela wewe
hiyo hela kwako wewe siyo ya kawaida na huna na ukiendeleza ubishi kifurushi chako cha chuo kitaisha bwa sheheMimi nimesema nina hiyo hela ?si wewe ndio umesema sina,
Mimi nimesema hiyo ni hela ya kawaida kishangaa kwamba mtu anatumia kwa siku.
Na yes nawexa nikaamini gadner anawexa kutumia hiyo hela. Kama wewe huwezi pia sio dhambi
Pole sana.
Huyo Ruge mwenyewe hafikishi mil 2[/QUOTE][QUOTRugewr gentleman, post: 16187548, member: 95717"]Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.
Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
mkuu umejitahidi sana kuonesha ukweli ila kuna vitu kama emergencies hujaonesha pesa zake, sadaka atoe jumapili na jumatatu, haugui? .. aargh kuna mengi sana..
Ebu tujaribu kukotoa ;-
Naona kama laki inakuwa ndogo, kwahiyo hakuna ajabu hapo, pia jamaa toka karudi kawa kama mtoto wa mjini zaidi, maneno ya kejeli, dharau, kubishana, kuwa muwazi zaidi, inaonekana alivyokuwa bench alikaa sana na misheni town..kabadilika
- Kuacha hela ya matumizi home -20,000/-
- Petrol/Dizeli kwa siku -20,000/-
- Supu/Chai - 10,000/-
- Lunch - 10,000/-
- Maji - 2,000/-
- Bia 20,000/- plus msosi pub/bar
- Offer au kusaidia mtu u jamaa - 10,000/-
- Girlfriend wake - 20,000/-
- ....
- ..
mkuu umejitahidi sana kuonesha ukweli ila kuna vitu kama emergencies hujaonesha pesa zake, sadaka atoe jumapili na jumatatu, haugui? .. aargh kuna mengi sana..
Kwendeni zenu huko, we unalisha maskini wangapi?hakuna mtu ana wivu na pesa zake, wala hujui mm natumia ngapi kwa siku, ila kwanini anapenda kujisifu ujinga, kusema kamkojoza mtu hadharani ni jambo zuri kwa mtanganzaji kama yeye, pia kujisifu matumizi mbele za jamii ni jambo jema, sijasikia akijisifu kalisha masikini wangapi wala kachangia jamii kiasi gani..
Tafuta exposure dogo uwezi kuipata huko Kariakoo.. Mshahara wa milioni 3 unaona mwingi?
Mimi niliipwa huo nikiwa junior position kipindi hicho.
utakuwa na tabia kama zake....Kwendeni zenu huko, we unalisha maskini wangapi?
Mlivyokuwa mnamsema kwamba analishwa akiwajibu mnandandiana na maneno ya kanga, hata yeye ana moyo WA nyama kama nyinyi......
Hivi nyie mna tatizo gani hampendi kusikia habari nzuri ya Gadna?
Huyo sura ngumu si alisema yeye ndio anamtunza sasa anaishi maisha yake bado inawaumiza.. Gadna tuko nae batani daily ingekuwa bado yupo kwenye ndoa mngesema za yule uso mgumu ila sasa mnalialia tu.
Kipato cha Mtangazaji wa Radio ni kidogo ikiwa utaangalia mshahara lakini watangazaji wa kariba ya Gadna mshahara ni sehemu tu ya mapato yake! Wanapata pesa ya kutosha kupitia jingles na commission ya matangazo! Hizi radio maarufu watu wanazitumia ku-facilitate tu mambo yao ndo maana ukimchukuwa mtu kama kipanya; mara ya kwanza alitoswa Clouds wakati KP Wears ipo juu lakini still KP alilalamika sana kutolewa Clouds cuz in one way or another Clouds ilikuwa in asidi sana kuifanya KP i-shine! Ukitaka kufahamu power ya Clouds kwa watu dizaini ya Gadna; mtafute Kibonde just for your own research halafu mwambie una shughuli yako na ungependa awe MC!My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.