Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Nimeshindwa kusoma. Maneno yamebanana sana. Jenga tabia ya kutumia PUNCTUATION MARKS kama COMMA, PERIODS, COLONS, SEMICOLONS etc
 
Mkojozaji peleka hiyo pesa kwa mawakili,Mura atakukomesha
 
Tatizo la kuwa na akili ndogo. Kutaka kujitapa mbele ya kadamnasi kwa mambo ambayo hayahusu kitu.

 
Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.

Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.

Sema anapata hiyo commission ya matangazo ambayo kwa kiasi kikubwa watangazaji wa Clouds huwaongezea sana mapato.
Lakini kuhusu mshahara wake, bado haujafika kwenye hiyo milioni tatu mkuu.
Halafu sijui kwanini Watanzania wengi tunapenda sana kuwa na matumizi makubwa ya kila siku. Hata sijui ni akili gani hizi?
Yaani matumizi ya ulevi, vyakula vya kusaza na kutoa ofa kwa marafiki, ambayo hayazalishi. Tunaona ndio sifa kweli.

Ova
 
Hivi Gadner mshahara inamaana laki sita aisee acheni hizo ban
 
Duh! afadhali mkojozaji kapata mtetezi humu jukwaani
 
Laki??,acheni masihara mjue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila waliimba laki si pesa atiii [emoji108][emoji108][emoji108]
 
Mkojozaji yupo vizuri si mchezo! Ila angefafanua anaitumia kwenye mambo gani chakula, pango, maji na umeme? Au ya kutokea out jioni. Ufafanuzi bado unahitajika ili tuweze kum rank na watu wengine matawi!
 
Fahari ndie mama wa ujinga

Ndugu yangu nimesoma michango ya wengine pia kuwa huyu mwamba analipwa na clouds mill.tatu kwa mwezi na pia hupokea na hela za matangazo.Wamesema pia mshahara huo kwa mtangazaji wa kawaida tu nao ni kitendawili.Siielewi elimu yake naamini ni ya kawaida sana.Hayo matangazo anayoweza kupata yatakuwa machache mno tena ya kubahatisha.Tukubali anapata mshahara huo na akishakatwa kodi anabakiwa na kiasi gani aweze kufanya matumizi ya laki kila siku?Wanaomfahamu wangeshatueleza hapa vitega uchumi vya uhakika anavyomiliki yakiwemo na manyumba.Ila maganji ya kubahatisha hayahesabiki.Mill tatu na isikatwe kodi ni laki kwa siku uzile zote?Angeeleweka angetuambia alishawahi kutumia laki kwa siku tusingehoji.Hayo ni majivuno ya kishamba tu na yaliyopitwa na muda sana? Kina Tibaijuka nao wasemeje kuhusu matumizi?Ningemshauri kama barua ya wanasheria wa Jide imetaja na muda wa kumwomba radhi Jide awahi magazetini kabla ya muda.Kama anajiona ki uchumi yuko vizuri aache sheria ifuate mkondo.
 
Kwani mtu kusema anatumia laki kwa siku ni kosa? Acheni ushamba nyie si mlikuwa mnasema jamaa anatunzwa na mwanamke sasa leo mmesikia kwamba anatumia pesa yake bado roho inawauma.acheni mambo ya kisenge.kwanza hiyo laki ni pesa ya kawaida tu.
 
hata bakhlesa anaogopa kutumia laki kwa siku...kusaga mwenyewe hatumii hiyo hela...
Usiwasemee watu matumizi ya pesa zao wewe. We panga matumizi yako siyo ya wenzako.kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake.
 
Undezi kutamka baadhi mambo hadharani..watu wenye muda watakufuatilia wakuumbue hadharani...
Ukishakuwa na ubongo wa chura ni shida sana!
 
umempa za uso.saizi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…