IkuluSAMAHANI KWA KWENDA NJE YA MADA MKUU,
HIVI NI MITAA GANI ZINAUZWA BAISKELI USED AINA YA PHOENIX KWA REJAREJA?
Mkenya huyoLugha gani umetumia hapa
Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku.
Alimuambia Malaika u mrembo sana, ni nani huyo amebahatika? Ila Malaika alisita kuongelea mahusiano yake, kumbe kaolewa.Halafu eti jana alikuwa anamsifia Malaika eti oohh umependezaaa. Hivi hajui kama yule ni mke wa mtu?
He,kumbe laki si pesa yupo?laki si pesa.
Nadhani ulichokifanya hapa ni kutoa matumizi yako ya siku. Na kama ni kweli, basi hakika waafrika tuna safari ndefu kufika mafanikio.
Ebu tujaribu kukotoa ;-
Naona kama laki inakuwa ndogo, kwahiyo hakuna ajabu hapo, pia jamaa toka karudi kawa kama mtoto wa mjini zaidi, maneno ya kejeli, dharau, kubishana, kuwa muwazi zaidi, inaonekana alivyokuwa bench alikaa sana na misheni town..kabadilika
- Kuacha hela ya matumizi home -20,000/-
- Petrol/Dizeli kwa siku -20,000/-
- Supu/Chai - 10,000/-
- Lunch - 10,000/-
- Maji - 2,000/-
- Bia 20,000/- plus msosi pub/bar
- Offer au kusaidia mtu u jamaa - 10,000/-
- Girlfriend wake - 20,000/-
- ....
- ..
We utakuwa mtangazaji CloudsAlimuambia Malaika u mrembo sana, ni nani huyo amebahatika? Ila Malaika alisita kuongelea mahusiano yake, kumbe kaolewa.
Mara laki kwa siku mara laki 3 povu linakutoka.
Nani kakwambia clouds wana scale moja ya mshahara?
Hivi unajua Masoud Kipanya analipwa kiasi gani?
Acha chuki za kijinga, Gadna anafanya maisha yake mlifikiri akiondoka kwa bibi atafeli sasa maisha yake yanamuendea poa inawaumiza.
Mimi najua principles za kuearn wealth wewe.Dah!kumbe watu muna kipato kidogo sana hadi kuona laki ni fedha nyingi eeh!
ukiwaona akija Jane Lowassa kwenye magari ya mikopo utadhani wana petrol ya kutosha,kumbe wanaogopa matumizi ya ka-laki kwa siku.
Ndo maana lunchtime utawasiki BAGIA NA SODA,kumbe ni mpango wa kuishi kwa 15 kwa siku,kumi petrol na dala msosi.
Mimi najua principles za kuearn wealth wewe..
Mnaposhindwa ni hapo kumlinganisha huyo Gadna na watanzania wengine. Huyo Gadna kafukuzwa na mwanamke huyo akaishia kuondoka na DVD player(true story). Clouds ili kumfariji wakampa mkataba. Sasa endeleeni kumpa kichwa kumbe mwenzenu anapotea.Kama wajuwa basi yeye Habash yuko right, vipato viko tofauti, hamna haja ya kumponda wala kumuonea gere, ila narudia kutumia laki kwa siku sio ajabu wala kitu cha kushangaza, kuna watz wenzetu wenye uwezo hio laki ni matumizi ya petroli ya gari lake kwa siku tu..
Mimi hunijui kama ambavyo gadner humjui hata wewe sikujui sasa sijui umetumia vigezo gani mpaka kusema hivyo?lakini siyo wewe wala mzee wa kukojoza mkuu
wewe huna hizo hela wenye hizo hela hawasemi bwana ,acha kuleta mbwembwe JF wewe kapuku tuMimi hunijui kama ambavyo gadner humjui hata wewe sikujui sasa sijui umetumia vigezo gani mpaka kusema hivyo?
Mimi nimesema nina hiyo hela ?si wewe ndio umesema sina,wewe huna hizo hela wenye hizo hela hawasemi bwana ,acha kuleta mbwembwe JF wewe kapuku tu
Huna hela weweMimi hunijui kama ambavyo gadner humjui hata wewe sikujui sasa sijui umetumia vigezo gani mpaka kusema hivyo?