Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Nimecheka sanaaaaa Watu wengi humu JF wanaiponda laki Eti laki si Pesa.Kila mtu anatoa povu kwa hao vikojozi.Jane ni Lady jay Na Mr.Gentleman ni Gadner wanaleta ugomvi wao hapa JF.
Mie ndio kwanza Na kunywa gahwa Na halua.Nyie vikojozi jifarijini tu.
 
Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku.

Ebu tujaribu kukotoa ;-

  • Kuacha hela ya matumizi home -20,000/-
  • Petrol/Dizeli kwa siku -20,000/-
  • Supu/Chai - 10,000/-
  • Lunch - 10,000/-
  • Maji - 2,000/-
  • Bia 20,000/- plus msosi pub/bar
  • Offer au kusaidia mtu u jamaa - 10,000/-
  • Girlfriend wake - 20,000/-
  • ....
  • ..
Naona kama laki inakuwa ndogo, kwahiyo hakuna ajabu hapo, pia jamaa toka karudi kawa kama mtoto wa mjini zaidi, maneno ya kejeli, dharau, kubishana, kuwa muwazi zaidi, inaonekana alivyokuwa bench alikaa sana na misheni town..kabadilika

Dah!kumbe watu muna kipato kidogo sana hadi kuona laki ni fedha nyingi eeh!
ukiwaona akija Jane Lowassa kwenye magari ya mikopo utadhani wana petrol ya kutosha,kumbe wanaogopa matumizi ya ka-laki kwa siku.
Ndo maana lunchtime utawasiki BAGIA NA SODA,kumbe ni mpango wa kuishi kwa 15 kwa siku,kumi petrol na dala msosi.
 
Halafu eti jana alikuwa anamsifia Malaika eti oohh umependezaaa. Hivi hajui kama yule ni mke wa mtu?
Alimuambia Malaika u mrembo sana, ni nani huyo amebahatika? Ila Malaika alisita kuongelea mahusiano yake, kumbe kaolewa.
 
Ebu tujaribu kukotoa ;-

  • Kuacha hela ya matumizi home -20,000/-
  • Petrol/Dizeli kwa siku -20,000/-
  • Supu/Chai - 10,000/-
  • Lunch - 10,000/-
  • Maji - 2,000/-
  • Bia 20,000/- plus msosi pub/bar
  • Offer au kusaidia mtu u jamaa - 10,000/-
  • Girlfriend wake - 20,000/-
  • ....
  • ..
Naona kama laki inakuwa ndogo, kwahiyo hakuna ajabu hapo, pia jamaa toka karudi kawa kama mtoto wa mjini zaidi, maneno ya kejeli, dharau, kubishana, kuwa muwazi zaidi, inaonekana alivyokuwa bench alikaa sana na misheni town..kabadilika

Nadhani ulichokifanya hapa ni kutoa matumizi yako ya siku. Na kama ni kweli, basi hakika waafrika tuna safari ndefu kufika mafanikio.
 
Mara laki kwa siku mara laki 3 povu linakutoka.

Nani kakwambia clouds wana scale moja ya mshahara?

Hivi unajua Masoud Kipanya analipwa kiasi gani?

Acha chuki za kijinga, Gadna anafanya maisha yake mlifikiri akiondoka kwa bibi atafeli sasa maisha yake yanamuendea poa inawaumiza.

jamaa unamtetea boss wako wa laki moja kwa siku kwa nguvu zote, huu mchezo hauitaji hasira
 
Dah!kumbe watu muna kipato kidogo sana hadi kuona laki ni fedha nyingi eeh!
ukiwaona akija Jane Lowassa kwenye magari ya mikopo utadhani wana petrol ya kutosha,kumbe wanaogopa matumizi ya ka-laki kwa siku.
Ndo maana lunchtime utawasiki BAGIA NA SODA,kumbe ni mpango wa kuishi kwa 15 kwa siku,kumi petrol na dala msosi.
Mimi najua principles za kuearn wealth wewe.

1. Nikienda benki kukopa ni kwaajili ya kuendeleza investment ambayo tayari nimeshaifanyia research na kujua itaniingizia pea.
2. Sikopi hela benki ninunue gari. Natumia mkopo kufanyia biashara halafu profit ninayoipata ndiyo nanunulia ninachotamani.
3. Siamini kama kuendesha gari inamaanisha chochote. Hii ni tabia ya middle-income people ambao hupenda kufanana na matajiri.
4. Matumizi ya laki 1 kwa siku si tatizo as long as inatokana na hela itokanayo na investment yako mwenyewe. Lakini inakuwa tatizo pale matumizi yako yanatokana na eti mshahara wa kuajiriwa.
 
Mimi najua principles za kuearn wealth wewe..

Kama wajuwa basi yeye Habash yuko right, vipato viko tofauti, hamna haja ya kumponda wala kumuonea gere, ila narudia kutumia laki kwa siku sio ajabu wala kitu cha kushangaza, kuna watz wenzetu wenye uwezo hio laki ni matumizi ya petroli ya gari lake kwa siku tu..
 
Mnaposhindwa ni hapo kumlinganisha huyo Gadna na watanzania wengine. Huyo Gadna kafukuzwa na mwanamke huyo akaishia kuondoka na DVD player(true story). Clouds ili kumfariji wakampa mkataba. Sasa endeleeni kumpa kichwa kumbe mwenzenu anapotea.
 
Kwa.mwezi 3 m mbona.pesa.ya kitoto sana..?.kuna mburura namjua yuko.redio.flani analipwa 2.5 na sio.legend.kama.gardner
 
wewe huna hizo hela wenye hizo hela hawasemi bwana ,acha kuleta mbwembwe JF wewe kapuku tu
Mimi nimesema nina hiyo hela ?si wewe ndio umesema sina,

Mimi nimesema hiyo ni hela ya kawaida kishangaa kwamba mtu anatumia kwa siku.

Na yes nawexa nikaamini gadner anawexa kutumia hiyo hela. Kama wewe huwezi pia sio dhambi

Pole sana.
 
Back
Top Bottom