Gardner: Jide kitu gani bana!, huyu ndiye mwendokasi wangu kwa sasa

Gardner: Jide kitu gani bana!, huyu ndiye mwendokasi wangu kwa sasa

Hata hao watajibu kwa vifungu vya Biblia Takatifu ambavyo vinatambua uwepo na kuruhusu utoaji waTALAKA!.
..... Jesus pointed out that these laws were given because of the hardness of people’s hearts, not because such laws were God’s desire (Matthew 19:8).....
shukrani mkuu
 
View attachment 355160

Miezi michache baada ya wanandoa Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Gardner Gabriel Fikirini Habash kutalikiana kwenye Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar, mwanaume huyo amemuanika ‘mtu wake’ wa sasa a.ka. ‘mwendokasi’ akisema ndiye mrithi wa mikoba ya mwimbaji huyo nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya.

Katika Viwanja vya Escape One, Kawe, jijini Dar es Salaam Jumamosi iliyopita, ambako mwimbaji mahiri wa Muziki wa Dansi Bongo, Christian Bella alikuwa akifanya shoo ya kutimiza miaka 10 katika ‘game’, Gardner alionekana na mrembo huyo akizunguka naye kimahaba kutoka eneo moja kwenda lingine huku wadau wake wakihoji ni nani!

Garder alipohojiwa na mwandishi wa habari hizi alikiri kuwa ni kweli kwa sasa anamiliki kifaa kipya kinachokwenda kwa jina la Vestina.

“Yes! Ndiye huyo kaka. Huyo ndiye mtu wangu kwa sasa na kama nilivyowahi kukudokeza, nimekuwa naye kwa muda mrefu kidogo, lakini sikuweza kumwanika mapema kwa sababu zinazoeleweka au ninazozijua mwenyewe,” alisema Gardner.

Mwandishi: “Vipi kuhusu Jide sasa, ndiyo n’tolee moja kwa moja kwa sababu ya talaka?”

Gardner: “Jide kitu gani bwana? Huyo ndo’ mwendokasi wangu kwa sasa.”

Gardner alimtaja binti huyo aliyekataa kusema umri wake kuwa anaitwa Vestina Jax, mkazi wa jijini Dar es Salaam.

Mwandishi wa habari hizi alilitaka kufahamu kama kuna mipango yoyote ya kufunga ndoa katika siku za karibuni baina yake na mrembo huyo, lakini Gardner alikataa kusema lolote juu ya hilo.

“Duu! Acha basi kaka! Kwa hilo sina comment,” alisema mtangazaji huyo ingawa habari za ndani zaidi zinasema kuwa, mrembo huyo ndiye mkewe mratajiwa.

Source: Bongo Movie
miaka ya nn mtu akishatoa taraka ruksa kuwa na mpenz mwingine kuhusu ndoa ni mipango yao wawil
 
Huyu sijui mchagha wa wapi huyu[emoji16] ,wenzake wanapambana kutafuta pesa yeye huku anashindana na mtalaka wake kwamba bado yupo kwenye kiwango cha kung'oa atakae.utoto huo!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wa kishumundu huyo mkuu
 
Mshkaji anavyokuwa redioni(sijamsikia kwa muda tho), na busara na muonekano wake ni vitu tofauti kabisa yaani. Let alone him being a fcukboy, he's got pretty lame and wack stigity as well. Kweli hupewi vyote.
 
Mshkaji anavyokuwa redioni(sijamsikia kwa muda tho), na busara na muonekano wake ni vitu tofauti kabisa yaani. Let alone him being a fcukboy, he's got pretty lame and wack stigity as well. Kweli hupewi vyote.

...hafanii kabisaa na fix anazofanya, akidanganya kwa kina unaingia kingi ............ Yahya unaishi wapi .

jina lako halisi nani yahya eeee..

[emoji125] [emoji125] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
...hafanii kabisaa na fix anazofanya, akidanganya kwa kina unaingia kingi ............ Yahya unaishi wapi .

jina lako halisi nani yahya eeee..

[emoji125] [emoji125] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
miguu kama fito za Mafagio ya kufagilia bara bara za Mwendo kasi ...mtu mzima kuhangaika kushindana na ulikotoka Kila siku wewe
 
Back
Top Bottom