johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Asante kwa habariMtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gsrdner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania. Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Source Clouds Tv!
$6500 @mounthMtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gsrdner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania. Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Source Clouds Tv!
$27500 kwa mweziMtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gsrdner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania. Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Source Clouds Tv!
Kama Milion 6?$27500 kwa mwezi
Hahahaa....... eti mbwembwe!!Habari kama hii inahitaji data, vinginevyo ni mbwembwe tu.
Sisi hatujui mkuu, tuambie!!Mnajua pesa Anayolipwa Sam Kimanta wa Singida Fm nyie au mnasema tu
Hata yeye aliwahi kuniambia kuwa analipwa pesa ndefu kuliko mtangazaji yeyote yule japo ilikuwa siri yake kama Gardner.Sisi hatujui mkuu, tuambie!!
Amesema anawazidi watangazaji wote nchini!!Labda kwa upande CMG, vipi mtu kama Charles Hilary nazani atakuwa analipwa zaidi ya Gardner.
Kwani Charles Hilary yuko nchi gani?!!Atamzid Charles Hillary kweli?
Hata Dr Shika mlimchukulia poa hivyo hivyo!!Sasa mbona kachokatu