Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

Ndio maana nawapenda watu wa Kenya kuhusu mambo ya upashaji wa habari. Ukitaka kujua mfano mishara ya watangaji wa TV mara moja Google inakupa lakini hapa TZ tunaletewa hadithi tu.
na ujue mishahara ya watu ili ugundue nini??? fanya yako kila mtu na jasho lake
 
SAS unasema au anasema ni siri na unakuja na Uzi huu c ajab hii?
 
Mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gsrdner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania. Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Katika mahojiano yaliyofanyika leo kati yake na watangazaji wenzie wa clouds tv Gardner amethibitisha hilo na kudai kama kuna mtangazaji anayemzidi mshahara basi ajitokezeSource Clouds Tv!
Na bado anahimiza watu WAJIAJIRI
[HASHTAG]#Fursa[/HASHTAG][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom