Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
inawezekana, maana nimemuona kwenye tv akijitamba tamba kidogo kuhusu mshahara wake. alafu pia aliporudi clouds si alipewa ile gari discovery 3, kwahiyo hadhi yake inawezekana ni kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babby Kabaye ndiye anayelipwa zaidi kuliko jiabashi..Mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gsrdner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania. Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Katika mahojiano yaliyofanyika leo kati yake na watangazaji wenzie wa clouds tv Gardner amethibitisha hilo na kudai kama kuna mtangazaji anayemzidi mshahara basi ajitokezeSource Clouds Tv!
Mbona mbunge ni mtu mdogo tu14000000 ata mbunge hajafika apo acha uwongo iyo si asala sasa kwenye iyo redio
Ndo CEO aache huko aendd mawinguHapo nimeona kama dola 2700 hivi, maana yake ni kama milion 60 vile. Duh mpunga mrefu kumzidi hata C.E.O wa Aga Khan Tanzania.
Unatisha mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Acha uwongo kijana kawa almasi uyo mpk alipwe milioni 60
Aliacha BBC au alistaafu?Charles Hilal ameacha kazi BBC, halafu azidiwe mshahara na Gadner? Mnaijua mishahara ya BBC, acheni jokes basi
Acha unafki mkuu, sema amehojiwa na Shilawadu na hakutaja fedha zaidi ya kucheka cheka tuMtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gsrdner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania. Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Katika mahojiano yaliyofanyika leo kati yake na watangazaji wenzie wa clouds tv Gardner amethibitisha hilo na kudai kama kuna mtangazaji anayemzidi mshahara basi ajitokezeSource Clouds Tv!