Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika mahojiano yaliyofanyika leo kati yake na watangazaji wenzie wa clouds tv Gardner amethibitisha hilo na kudai kama kuna mtangazaji anayemzidi mshahara basi ajitokezeSource Clouds Tv!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mnajua pesa Anayolipwa Sam Kimanta wa Singida Fm nyie au mnasema tu
14000000 ata mbunge hajafika apo acha uwongo iyo si asala sasa kwenye iyo redio$6500 @mounth
$27500 kwa mwezi
Sio milioni sita sema milioni sitiniKama Milion 6?
Anakula laki tatu kwa mwezii.....Adam Mchomvu......!?
Sasa atajitokezaje mtu aseme analipwa zaidi yake ikiwa hajui kiasi anacholipwa?
Hapo nimeona kama dola 2700 hivi, maana yake ni kama milion 60 vile. Duh mpunga mrefu kumzidi hata C.E.O wa Aga Khan Tanzania.Kama Milion 6?