Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

Ktk diary ya Jide alipopanda mlima Kilimanjaro walipitia home kwa Gadner G, mzee mmoja alionyesha eneo alipozikwa babake mzazi, maji ya mvua yalikuwa yamesafisha pamebaki peupe, kwakuwa analipwa mshahara mkubwa basis ni muda mzuri wa kwenda kujengea kaburi LA babake.
 
Wewe ulichukulia ile kitu serious mkuu?? Kasema km yupo anayemzidi ajitokeze na aseme anamzidi bei gani.
 
Angesema dau analolipwa watangazaji wajitokeze kum overtake.
Kwa taarifa yake Ndg Charls Hillary ndiyo anapewa kiasi kikubwa cha mshahara
 
Angeuweka hadharani mshahara wake ndiyo watu wangeweza kuutofautisha na wa wengine
 
Mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gardner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania.

Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Katika mahojiano yaliyofanyika leo kati yake na watangazaji wenzie wa clouds TV Gardner amethibitisha hilo na kudai kama kuna mtangazaji anayemzidi mshahara basi ajitokezeSource Clouds Tv!
😱😱😱
KIKI apate vibinti, wanayemjuwa CEO wa CMG hawezi kumlipa hiyo hela huyo, hata awe amejaza matangazo kuanzia mwanzo wa kipindi cha Jahazi mpaka mwisho!
Uongo mwingine aise...
 
Gadner we dont believe in witch craft...weka mambo hadharani

Kuna watu wanomzidi utajiri Besoz na Gate lkn hatujui wanamiliki nini na vyanzo vya mapato yao ni nini wanajikuta na wakati mgumu kituaminisha utajiri wao...which seems like you need a miracle to make people believe you with no data
 
Back
Top Bottom