Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

Mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gardner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania.

Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Katika mahojiano yaliyofanyika leo kati yake na watangazaji wenzie wa clouds TV Gardner amethibitisha hilo na kudai kama kuna mtangazaji anayemzidi mshahara basi ajitokezeSource Clouds Tv!
mshahara wake ni ila ya watangazaji wenzake ameijuaje? aache utohe
 
Nonsense,kipindi chake cha Jahazi ukimtoa Kibonde kinabaki upuuzi kama Chereko la Tbccm
 
Back
Top Bottom