johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #101
Hao shilawadu ni ITV?!!Acha unafki mkuu, sema amehojiwa na Shilawadu na hakutaja fedha zaidi ya kucheka cheka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao shilawadu ni ITV?!!Acha unafki mkuu, sema amehojiwa na Shilawadu na hakutaja fedha zaidi ya kucheka cheka tu
Atakua mke wa Gadner huyuSasa wewe umejuaje kama ni Siri au wewe ndo Gardner unatafuta mbadala wa Jide.....?
Ndio hapo, kiasi unacholipwa umesema ni siri, sasa mtu atajuaje kama amekuzidi ili ajitokeze?Sasa atajitokezaje mtu aseme analipwa zaidi yake ikiwa hajui kiasi anacholipwa?
Mil 60?Kama Milion 6?
Imefanyaje?Mil 60?
Kauli za kukata tamaaMwisho wa siku hakuna atakayezikwa na sanda nyekundu au kijani, wote ni sanda nyeupe, hivyo regardless of whatever you earn, tambua kuwa duniani tunapita.
Nilifikiri ni $ 2700 kumbe $ 27000Hiyo ni kama million 60 siyo 6!
Mkuu nimeona kama 2700 kumbe ni elfu ishirini na saba....Inaelekea hesabu ulipata F? Dollar 27500 ni millioni 6? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kwann katukana huyu mtu?Nenda jukwaa la matusi wanaume wanakusubiri huko!!
mshahara wake ni ila ya watangazaji wenzake ameijuaje? aache utoheMtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gardner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania.
Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Katika mahojiano yaliyofanyika leo kati yake na watangazaji wenzie wa clouds TV Gardner amethibitisha hilo na kudai kama kuna mtangazaji anayemzidi mshahara basi ajitokezeSource Clouds Tv!
$6500 @mounth
$27500 kwa mwezi
Kama Milion 6?
Buku 7Acha upumbavu wewe.unajua hela ninayolipwa na radio uhuru.?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hata yeye aliwahi kuniambia kuwa analipwa pesa ndefu kuliko mtangazaji yeyote yule japo ilikuwa siri yake kama Gardner.
Inaelekea hesabu ulipata F? Dollar 27500 ni millioni 6? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kauli za kukata tamaa