Car4Sale Gari aina ya BMW X5 inauzwa

Kuna yale ma X5 old model hata ya bure sitaki[emoji28][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yale ya kiboya yamekaa kizembe sana yani kama matenki.

Na penyewe hio 2014 BMW ni 2.0L diesel in 231HP wakati 1VD-FTV V8 twin Turbo ana 268HP still lazma abow down kwa mwamba VX-R!
 
Yale ya kiboya yamekaa kizembe sana yani kama matenki.

Na penyewe hio 2014 BMW ni 2.0L diesel in 231HP wakati 1VD-FTV V8 twin Turbo ana 268HP still lazma abow down kwa mwamba VX-R!
Pambanisha na BMW X5 M performance mzee, sio mnajishindanisha na kinyonge, ili mshinde πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
M performance hamna mbongo anaeweza kumiliki wala huwezi kuikuta kwenye highway za bongo huko ambako VX-R anajizolea ushindi! Tupambanishe gari zilizopo tuπŸ˜‚
Pale hotelin penyewe ambapo mda mwingi nakuwepo M performance ipo ile ya blue.. bongo mbona zipo kibao huzioni, tembea ushuani huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mwamba si ndio kasema uwezo wa wana JF nikununua kama hizo A4,.. na A4 yenyewe ndio hiyo au unaonaje mkuu
Hio A4 nimeiona ila kwa matajiri wa humu kikomo ni 2009 tu! Tutavunja nazi kumtafuta mchawi ila mwenye A4 ya 2019 tunaweza tukasubiri miaka 6 mbeleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hio A4 nimeiona ila kwa matajiri wa humu kikomo ni 2009 tu! Tutavunja nazi kumtafuta mchawi ila mwenye A4 ya 2019 tunaweza tukasubiri miaka 6 mbeleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ushuani huku zipo mzee baba 😁
inakuwaje mwamba analinganisha bei ya IST na audi A4.. achukue IST na Audi ya 2015 afanye milingano ya bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…