Gari aina ya Cresta Gx 100

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]...town km 10 ka lita kwenye GX 100??

Hata spacio kwa town hupati hizo km..
engine ya BEAMS 2000 unaijua mkuu??

mi naishi Kiluvya napiga mishe gerezani na kila siku naenda na kurudi kwa mafuta ya ya 150,000 sa piga hesabu na kuna mizunguko mingine napiga pia hapa mjini
 
Niliwahi kutumia Toyota Mark 2 GX 81 yenye Engine ya 1G kavu na 6cylinders,nafahamu balaa lake,ila sio gari la kukaa nalo kwenye mafoleni,inahitaji safari ndefu ndio utalifurahia...
 
Duh wakuu mtaua watu nyinyi! Gx10au 110 ikupe 10km/l mjini?
Waache wajichanganye😅 gari hapo ikiwa makini haina kipengele inakupa 7km/l ila plug zimekufa sijui oil imechoka manaake ni unalamba 5km/l huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…