Gari aina ya Cresta Gx 100

Gari aina ya Cresta Gx 100

You see...angekuwa Yamamoto sasa hizi tusingekuwa na hii discussion! Ijumaa na mimi nikatoboa sump! Nimeingia kwenye handaki nikasikia chuma kidunda chini. Jana asubuhi naenda job narudi reverse nitoke naona kuna kisima cha crude oil chini nikajua lile shimo limejibu. Ila nimerekebisha kesho inarudi barabarani.
Yamamoto naona angezika au kuchinja chinja πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. Pole sana, bora shida ya sump itokee upo mjini, chini nimepiga bati moja la chuma matata ni zito hadi sump kupasuka kuna mkono wa mtu
 
Hahahahah mtoto anaona raha gari inavyokimbia eeh!
anapenda sana ma mbio , anafurahia kinoma tunavyo kinukisha road, kasema tusubiri tuvute chuma kali ya maana nikamuonesha Scirocco na GTI pamoja na sportback audi akasema tusubiri anapenda ligi road mtoto
 
Hahahahahah muhamie kwenye sportback sasa. Juzi nilikuwa nakitesti ki mini cooper aisee kile kigari nacho kina turbocharger kinavuta kama scirrocco tu ni balaa engine 1.6T...

Nilikuwa nakichukulia poa ila kumbe kigari kweli kizito kama tofali!
 
Yamamoto naona angezika au kuchinja chinja πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. Pole sana, bora shida ya sump itokee upo mjini, chini nimepiga bati moja la chuma matata ni zito hadi sump kupasuka kuna mkono wa mtu
Hahahahah ila angetoka salama kama ni Crown full ma Airbags
 
Ungeisha, ungechomokea usoni mwa gariπŸ˜… sema vipi hujalivunja gari kweli?
Sielewi gari zima halijapata shida hata kidogo na pale pale ngoma nikaitoa down kule kwa reverse ngoma mchibuyu, bila chuma ingepasuka sump tena ila pia chuma chini limesaidia
 
Hahahahahah muhamie kwenye sportback sasa. Juzi nilikuwa nakitesti ki mini cooper aisee kile kigari nacho kina turbocharger kinavuta kama scirrocco tu ni balaa engine 1.6T...

Nilikuwa nakichukulia poa ila kumbe kigari kweli kizito kama tofali!
sportback matusi yale.. sema ndio ivyo mtu anakaba hadi kivuli hata kama una magendo kuyavusha kazi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakuu mie naulizia Mark ii gx 110 nataka nikamate hii nitoke kwenye IST wese sio ishu, naomba kujua changamoto na faida zake
Cc;
Extrovert mng'ato
Nakushauri uichukue, hutajuta. Injini yake ni 1G iliyoboreshwa (Beams 2000) na ni cc 1998. Inachanganya haraka sana na consumption ni ya kawaida kabisa. Ondoa hofu brother
 
Back
Top Bottom