Gari aina ya IST imeibwa leo. Yeyote atakayeiona naomba atupe taarifa

Gari aina ya IST imeibwa leo. Yeyote atakayeiona naomba atupe taarifa

Bila kuwa na tracking system ni changamoto sana.

Ikifika tu machinjio yao ndiyo basi tena.
Kuna wajanja wana mashine za ku detect hizi tracking system wanazitoa. Ni kuomba tu hii misala inaumiza sana
 
Back
Top Bottom