Gari BMW X3 tatizo lishalekebishwa lakini Taa inaendelea kuwaka


Hiyo taa huwaka kwa sababu kuu mbili tu.

1. Incorrect tyre pressure. Whether imezidi au imepungua.

2. TPMS sensor mbovu, wabongo wengi wakiziba pancha hizi hawazirudishii na hapo ndio majanga yanaanza.

Hizi sensor jamani hazinaga wires hivyo mawasiliano baina ya hiyo TPMS sensor na gari huwa ni wireless.
 
Wazungu wana akili. Mpaka KP motors ije kuwa na hizi sensor zilizozalishwa nchini sijui wao watakuwa wapi.
 

Kwanini abadili tyre boss?

Tangu lini tairi zikaja na TPMS sensor?
 
Kama unabadili tyre zote kwa sababu zimeisha sawa.

Ila kama unaenda kubadili kwa sababu ya hiyo taa basi unaenda kutupa hizo pesa.
Hakunielewa, nilimwambia hiyo taa ipo sababu ya tairi. Iwapo sensor ni nzima basi tairi ndo mbovu. Na kwasababu tunajifahamu watanzania tairi zetu tunabadili kwa kuangalia kashata huenda kweli tairi zina shida.
 
Extrovert tumwambie au tumuache kwanza???
 
Badilisha tairi, bmw sensor haitambui viraka wala utambi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hakunielewa, nilimwambia hiyo taa ipo sababu ya tairi. Iwapo sensor ni nzima basi tairi ndo mbovu. Na kwasababu tunajifahamu watanzania tairi zetu tunabadili kwa kuangalia kashata huenda kweli tairi zina shida.

Hiyo sensor inapima Tyre pressure tu, wala siyo kitu kingine chochote. Ndio maana suala la ubovu wa tairi nalikataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ