Gari BMW X3 tatizo lishalekebishwa lakini Taa inaendelea kuwaka

Hakunielewa, nilimwambia hiyo taa ipo sababu ya tairi. Iwapo sensor ni nzima basi tairi ndo mbovu. Na kwasababu tunajifahamu watanzania tairi zetu tunabadili kwa kuangalia kashata huenda kweli tairi zina shida.
Abadilishe tairi bwana aache usanii, watu wakinunua rav 4 mnawaona washamba. Afate masharti ya BMW inavyotaka tairi moja ya pirelli ni laki 6 tu sio hela nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…