Nathan James
Member
- Apr 12, 2017
- 59
- 28
- Thread starter
- #41
Acha hizo aisee. hawachelewi ati.Uchochezi huo mkuu,,, TRA wako njiani wanakuja kukagua mapato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo aisee. hawachelewi ati.Uchochezi huo mkuu,,, TRA wako njiani wanakuja kukagua mapato
Naona FUGA kweli imepata Rates Nyingi. Shukrani sanaMark X na Crown zina engine moja lakini Crown Athlete inaikimbiza Mark X, ila Fuga ndo mambo yote aisee
Hahahaha Sawa Mkuu.Ushauri wangu nunua zote tatu ili ujionee ubora na udhaifu wake.
FUGA Nyeusi sio? hahaha inaongeza Kunoga au vipi?Haswa ikiwa nyeusiii
Sawa Mkuu, nime note hiyoFuga mashine hapo. Ila spear zake ujipange hamna mpinzani
[emoji16][emoji16]Nimesikitishwa sana na komenti yako, unadhan kila mtu kipaumbele chake ni kujenga?
Asante sana. Analysis yako iko poa sana. now hapa umeinshia kwenye Crown kwasababu ya Maintenance??Crown ( athlete and royal saloon.) na Mark x aren't very far apart.. in terms of performance, maintenance, etc.
For looks, speed, performance, durability, Fuga beats the 2 rivals..
Ila maintenance yake is kind of high compared to the 2.
If I was to choose, I'd go for the crown. For its stylish, eye catching elegant looks, yet aggressive.
Spare Mkuu..spear ni kitu tofautiChukua kati ya mark x au crown, utumiaji wa mafuta na speed ni almost similar, Nissan fuga sina uzoefu nayo sana ila nadhani spear ni shida
Kuzingatia hili naomba unipe mawazo yako. Muhimu sana kuangalia 100-0 hahhaahha tulisahauYou do not care about safety, braking na handling?
Mnapoangalia 0-100kmph time mkumbuke na 100-0kmph time. Do not drive faster than you can stop.
Asante sana. Analysis yako iko poa sana. now hapa umeinshia kwenye Crown kwasababu ya Maintenance??
Audi A6 ni hiviiii ni fayaaaaaUkinnua utupe mrejesho na mm hizo gari tatu zinanitatiza sana ipi ni bora kuchukua.. Ila mm ningeongeza na BMW 5/3 series na Audi A4/6..
Kabla mwaka haujaisha inabidi tutembee tumekaa.. Nyumba ntajengagaa
Audi zna utamu eehAudi
Audi A6 ni hiviiii ni fayaaaaa
Vry perfect.Mark x na crown.. Tofauti ni body na accesories chache.. Engine ni zile zile 4gr na 2gr... Mfumo wa chini ni ule ule.... Labda gearbox kidogo ndo zinatofauti.... Nissan fuga ni superior kwa crown na mark x interms of stability, speed, power etc... Upande wa mafuta hakuna yenye afadhali hapo... Usitegemee kuna gari hapo inatumia zaid ya km. 7 kwenye foleni za dar... Isipokua ukiwa highway consumption ni ndogo sana ingawa zina engine kuanzia cc 2500 zote....
Kama unataka gari ya starehe kuliko zote katika hizo chukua Fuga... Ila c crown mark x wala fuga utapata ahueni ya spea wala mafuta....