Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Wakuu habari,
Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gani inanifaa Mimi, kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Consumption kwa KM/litre ipoje kwaMitsubishi outlander mkuu hutajutia boss
Wakuu habari,
Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gani inanifaa Mimi, kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Ila watanzania bhn….Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako.
Hujielewi wwIST ni uchafu wa Taifa! Heri niendeshe Terios Kid kuliko IST.
Acheni ushamba wetu, watu hatuna mapato yoyote y mwezi na tunapush mapira y hatari..Nilitaka kusema hivyo pia; kasema kipato chake ni Tsh 400k kwa mwezi; ukweli sioni kama ni deal kwake kua na gari, afanye mambo mengine
Mtu anaulizia gari wanamwambia ajenge, wabongo bana!!Nani alikwambia hana nyumba?
Bei ya nyumba na gari n sawa…
Hii nchi inalaana sio bure, yani nianze ujenzi ndo ninunue gari? 🤣🤣🤣
Gari 10 million napata, nyumba je, hiyo ten million si kiwanja tuu tena vingunguti Kyembe mbuzi huko…
Wazee wa Ushauri haoMtu anaulizia gari wanamwambia ajenge, wabongo bana!!
Ukute mtu alishamalizua kujenga,ana vibiashara vidogovidogo na hiyo TSH 600000/= ni Kwa ajiri tu ya kutumia Haina KAZI nyingine hawezi miliki gani mwamba!???Mwamba gari lolote linafaa kuanzia maisha
Ila kama kipato ni laki 4 ningekushauri suala la gari achana nalo kwa sasa
Yeye kasema kipato chake kwa mwezi ni laki 4Ukute mtu alishamalizua kujenga,ana vibiashara vidogovidogo na hiyo TSH 600000/= ni Kwa ajiri tu ya kutumia Haina KAZI nyingine hawezi miliki gani mwamba!???