Gari hii taa 4WD ina maana GANI haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima

Gari hii taa 4WD ina maana GANI haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
Habari,

wakuu hii taa 4WD ina maana GANI maana haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima nimebonyeza kila batani lakini wapi?

Nikiwasha kuvuta tairi zote 4 hiyo taa inazima zinawaka nyingine

ushauri wenu wakubwa [emoji116]

IMG_20211015_063551_737.jpg
IMG_20211015_063655_387.jpg
 
Tatizo ni hako ka taa tu au kuna jingine? Gari inatembea au haitembei? Service ya oil ya engine na gearbox Mara mwisho ulimwaga lini kwa oili aina gani?

Je kuna system yoyote ya mziki au alarm uliyoongeza fundi kagusa huko kwenye dash bod hivi karibuni kutengeneza chochote?
 
Tatizo ni hako ka taa tu au kuna jingine? Gari inatembea au haitembei? Service ya oil ya engine na gearbox Mara mwisho ulimwaga lini kwa oili aina gani?...
Oili haina hata week tangu nibadili nahuwa nabadili zote kwenye injin na gear bx, kwenye dashboard haijawah kuguswa kitu
 
Oili haina hata week tangu nibadili nahuwa nabadili zote kwenye injin na gear bx, kwenye dashboard haijawah kuguswa kitu
Yaani service ya engine oil na gearbox oil unafanya kwa pamoja? mimi nadhani oil ya gearbox inatumika kwa muda mrefu zaidi angalau unahitaji kuibadilisha kwenye service ya tatu....
 
Yaani service ya engine oil na gearbox oil unafanya kwa pamoja? mimi nadhani oil ya gearbox inatumika kwa muda mrefu zaidi angalau unahitaji kuibadilisha kwenye service ya tatu....
oooho
 
Back
Top Bottom