Gari hii taa 4WD ina maana GANI haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima

Utaua gear box....
Oil ya gear box haibadilishwi hovyo....
At least baada ya 50,000km ndo unabadili
Aiseee, kumbe badala ya kuongeza performance ndo unaipunguza........nilichogundua wafanyabiashara na mafundi hawawezi kukuelimisha kuhusu mambo kama haya ili uende mara kwa mara wapige hela, kwa mantiki hii service ya gearbox nitafanya mara moja kwa mwaka.
 
Pia ungekua unaweka gearbox oil org. usingeweza ku afford kubaidili kila Mara maana Ni expensive,I guess hautumii ambayo Iko recommended na manufacturer wa gari husika.
 
Gari yangu ni toyota, hivyo huwa naenda naenda kuchukua kulekule kampuni ya toyota wanazo oil kwa ajili ya gari za toyota..
 
Kama unaweza ku afford Toyota T-IV/Dexron III/Toyota WS kila Mara kiasi hicho then uko vzr.
 
Aiseee, kumbe badala ya kuongeza performance ndo unaipunguza........nilichogundua wafanyabiashara na mafundi hawawezi kukuelimisha kuhusu mambo kama haya ili uende mara kwa mara wapige hela, kwa mantiki hii service ya gearbox nitafanya mara moja kwa mwaka.

Unafanya kwa Km ulizotembea.. At least 50,000km. Uweke original gearbox oil
 
Kwa safari za hapa mjini kwenda na kurudi kibaruani siwezi kufikisha km elf 50 kwa mwaka. Mfano, gari langu lilipofika bandarini lilikuwa linasoma km. elf 17, leo ni miaka mitano ndo linasoma km. elf 56.......kwa hiyo hapo limetembea jumla ya km. elf 39 ndani ya miaka 5. Kwa mahesabu hayo ndani ya miaka 5 sitakiwi kufanya service ya gearbox......
 
Ndio
 
Back
Top Bottom