Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Mkuu kuna watu wanaokota hela aiseeh..yaani kila akifanya service ya kubadili oil ya engine na gearbox anafanya dah..ila kama gari yake imeshagonga km zaidi ya 100k ni sawa ila siyo kwa kiwango cha huyu jamaa..Oil unabadili ya gearbox na ya engine kwa pamoja? Acha kuchezea hela mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app