baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,580
- 1,773
- Thread starter
- #41
CjakuelewaMkuu gari yangu imeandikwa 4WD, sasa nimeenda kucheki pale kwenye dash board, haina button ya 2WD lakini ina button ya auto. Nimejaribu kubonyeza hiyo button ya auto ikawaka na nikabonyeza button ya pembeni yake iliyoandikwa off ikazima. Sasa swali langu ni kwamba haiwezi kuwa hiyo button ya auto ikiwaka gari inakuwa kwenye 4WD na ikiwa haijawaka inakuwa kwenye 2WD?