Gari hii taa 4WD ina maana GANI haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima

Gari hii taa 4WD ina maana GANI haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima

.
IMG_20211015_080942_131.jpg
 
Kwa unaanza kutatua tatizo rahisi kabla ya tatizo gumu. Ebu tafuta fundi umeme aangalie hiyo swichi isiwe imeshoti na kuunga waya wa AUTO moja kwa moja. Maoni yangu...
Powa
 
Lazima ile mafuta kwani inaonekana unaendesha kwenye 4WD ambapo tairi zote zinazungushwa na injini.
Mkuu gari yangu imeandikwa 4WD, sasa nimeenda kucheki pale kwenye dash board, haina button ya 2WD lakini ina button ya auto. Nimejaribu kubonyeza hiyo button ya auto ikawaka na nikabonyeza button ya pembeni yake iliyoandikwa off ikazima. Sasa swali langu ni kwamba haiwezi kuwa hiyo button ya auto ikiwaka gari inakuwa kwenye 4WD na ikiwa haijawaka inakuwa kwenye 2WD?
 
Back
Top Bottom