Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
standalone ATF ban
Duh! mwaka naona mrefu........kuna jamaa aliniambia kwenye service ya tatu unamwaga ya gear box ambayo ni kama km elf 9 hadi km elf 15, kumbe inawezekana kuendelea kuitumia muda mrefu zaidi.
Lita moja inakula klm. 6
[emoji1][emoji1]Unapoteza hela kishenzi jamaa angu.
Alikudanganya, mafundi wengi ni makanjanja.. gearbox oil inaweza tembea mpaka 60k km kwenye hizi gari za auto.Duh! mwaka naona mrefu........kuna jamaa aliniambia kwenye service ya tatu unamwaga ya gear box ambayo ni kama km elf 9 hadi km elf 15, kumbe inawezekana kuendelea kuitumia muda mrefu zaidi.
Yaani pesa ya mtu umpangie unataka wote tungangane na makali ya Toyota ?? Kweli na wac wac na hisa yako ya akiliAlafu watu mnaambiwa kila siku achaneni na ma xtrail hamuelewi..
Aisee kuna umuhimu wa mafundi wetu kwenda shule.Duh! nilikuwa sijui hii......ila injini oil huwa namwaga kwenye km elf 5, natumia ile yenyewe ya toyota.....jamaa wa gesi wanasema kama gari inatumia gesi unaweza usimwage oil hadi km elf 9.....
ma xtrail yanataka uyawekee spareparts zake na hazitaki fundi wenye uelewa duni. Ma xtrail sio matoyota magari ambayo hata ukiweka maji as coolant litaenda tu. Ma xtrail yanataka nidham ya utunzaji, utumiaji, na uwepo fundi mmoja nguli anayelihudumia gari.Alafu watu mnaambiwa kila siku achaneni na ma xtrail hamuelewi..
Chief umepata solution, hata mimi nina nissan xtrail inanifanyia huo uhuni.Nissan extrail
We unataka tuhamie kwenye gari gani ambayo haiwezi kupata tatizo lolote?Alafu watu mnaambiwa kila siku achaneni na ma xtrail hamuelewi..
Ni kweli kuna watu kwenye extrail huwaambii kitu. Inaonyesha kadiri magari yanavyozidi kutumia umeme, electronics parts, zaidi ndivyo mafundi wanatakiwa kujifua zaidi sasa tatizo baadhi ya mafundi nadhani hawapendi kuongeza ujuzi sasa hapo ndipo shida ilipo mtu kakariri kutengeneza rav4 ya injini ya 3S sasa anataka aweze pia kutengeneza xtrail, audi, vw kwa kutumia ujuzi wa kutengeneza hiyo rav4 ya tokea enzi ya mwinyi!!!. Huwa nasema kama extrail zingekuwa mbovu kama baadhi ya watu wanavyodai now zisingekuwa now zimefika 4th generation. Ile kwamba zinaendelea kutengenezwa inaonyesha kuna watu wanazihitajiWapo watu wana good experience na hizo gari...
Usigeneralize.
Labda ka kuna issue ingne ila io sioni ka n tatzo gari iko ktk 4wheel drive all da time nahsi kuna button umepress unkwngly au kuna namna sensor haiko poa ya activation 4WD fundi wa umeme anaweza sort ilo jamboHabari,
wakuu hii taa 4WD ina maana GANI maana haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima nimebonyeza kila batani lakini wapi?
Nikiwasha kuvuta tairi zote 4 hiyo taa inazima zinawaka nyingine
ushauri wenu wakubwa [emoji116]
View attachment 1974785View attachment 1974787
Mimi nikibadili oil zote mbili leo, nitatembea km 5000 nafanya injini oil peke yake.....ile inayofuata ndo nabadili na ya gearbox........kwa hiyo inakuwa injini oil baada ya km 5000, na gearbox oil baada ya km 10,000...........
Duh! mwaka naona mrefu........kuna jamaa aliniambia kwenye service ya tatu unamwaga ya gear box ambayo ni kama km elf 9 hadi km elf 15, kumbe inawezekana kuendelea kuitumia muda mrefu zaidi.