Gari hii taa 4WD ina maana GANI haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima

Gari hii taa 4WD ina maana GANI haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima

Duh! nilikuwa sijui hii......ila injini oil huwa namwaga kwenye km elf 5, natumia ile yenyewe ya toyota.....jamaa wa gesi wanasema kama gari inatumia gesi unaweza usimwage oil hadi km elf 9.....
Aisee kuna umuhimu wa mafundi wetu kwenda shule.
 
Alafu watu mnaambiwa kila siku achaneni na ma xtrail hamuelewi..
ma xtrail yanataka uyawekee spareparts zake na hazitaki fundi wenye uelewa duni. Ma xtrail sio matoyota magari ambayo hata ukiweka maji as coolant litaenda tu. Ma xtrail yanataka nidham ya utunzaji, utumiaji, na uwepo fundi mmoja nguli anayelihudumia gari.
 
Wapo watu wana good experience na hizo gari...

Usigeneralize.
Ni kweli kuna watu kwenye extrail huwaambii kitu. Inaonyesha kadiri magari yanavyozidi kutumia umeme, electronics parts, zaidi ndivyo mafundi wanatakiwa kujifua zaidi sasa tatizo baadhi ya mafundi nadhani hawapendi kuongeza ujuzi sasa hapo ndipo shida ilipo mtu kakariri kutengeneza rav4 ya injini ya 3S sasa anataka aweze pia kutengeneza xtrail, audi, vw kwa kutumia ujuzi wa kutengeneza hiyo rav4 ya tokea enzi ya mwinyi!!!. Huwa nasema kama extrail zingekuwa mbovu kama baadhi ya watu wanavyodai now zisingekuwa now zimefika 4th generation. Ile kwamba zinaendelea kutengenezwa inaonyesha kuna watu wanazihitaji
 
Habari,

wakuu hii taa 4WD ina maana GANI maana haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima nimebonyeza kila batani lakini wapi?

Nikiwasha kuvuta tairi zote 4 hiyo taa inazima zinawaka nyingine

ushauri wenu wakubwa [emoji116]

View attachment 1974785View attachment 1974787
Labda ka kuna issue ingne ila io sioni ka n tatzo gari iko ktk 4wheel drive all da time nahsi kuna button umepress unkwngly au kuna namna sensor haiko poa ya activation 4WD fundi wa umeme anaweza sort ilo jambo
 
Ipeleke kwa fundi akaiangalie kwenye computer. Ukianza kuitengeneza kwa kuguess utazalisha magonjwa mengine. Hiyo ndiyo extrail haihitaji ubabaishaji. Peleka diagnosis.
 
Mimi nikibadili oil zote mbili leo, nitatembea km 5000 nafanya injini oil peke yake.....ile inayofuata ndo nabadili na ya gearbox........kwa hiyo inakuwa injini oil baada ya km 5000, na gearbox oil baada ya km 10,000...........

Utaua gear box....
Oil ya gear box haibadilishwi hovyo....
At least baada ya 50,000km ndo unabadili
 
Back
Top Bottom