Aiseee, kumbe badala ya kuongeza performance ndo unaipunguza........nilichogundua wafanyabiashara na mafundi hawawezi kukuelimisha kuhusu mambo kama haya ili uende mara kwa mara wapige hela, kwa mantiki hii service ya gearbox nitafanya mara moja kwa mwaka.Utaua gear box....
Oil ya gear box haibadilishwi hovyo....
At least baada ya 50,000km ndo unabadili
Pia ungekua unaweka gearbox oil org. usingeweza ku afford kubaidili kila Mara maana Ni expensive,I guess hautumii ambayo Iko recommended na manufacturer wa gari husika.Aiseee, kumbe badala ya kuongeza performance ndo unaipunguza........nilichogundua wafanyabiashara na mafundi hawawezi kukuelimisha kuhusu mambo kama haya ili uende mara kwa mara wapige hela, kwa mantiki hii service ya gearbox nitafanya mara moja kwa mwaka.
Gari yangu ni toyota, hivyo huwa naenda naenda kuchukua kulekule kampuni ya toyota wanazo oil kwa ajili ya gari za toyota..Pia ungekua unaweka gearbox oil org. usingeweza ku afford kubaidili kila Mara maana Ni expensive,I guess hautumii ambayo Iko recommended na manufacturer wa gari husika.
Kama unaweza ku afford Toyota T-IV/Dexron III/Toyota WS kila Mara kiasi hicho then uko vzr.Gari yangu ni toyota, hivyo huwa naenda naenda kuchukua kulekule kampuni ya toyota wanazo oil kwa ajili ya gari za toyota..
Ndo hii inauzwa na kampuni ya toyota? nafikiri ipo almost elf 60 kwa lita 4....Kama unaweza ku afford Toyota T-IV/Dexron III/Toyota WS kila Mara kiasi hicho then uko vzr.
Aiseee, kumbe badala ya kuongeza performance ndo unaipunguza........nilichogundua wafanyabiashara na mafundi hawawezi kukuelimisha kuhusu mambo kama haya ili uende mara kwa mara wapige hela, kwa mantiki hii service ya gearbox nitafanya mara moja kwa mwaka.
Kwa safari za hapa mjini kwenda na kurudi kibaruani siwezi kufikisha km elf 50 kwa mwaka. Mfano, gari langu lilipofika bandarini lilikuwa linasoma km. elf 17, leo ni miaka mitano ndo linasoma km. elf 56.......kwa hiyo hapo limetembea jumla ya km. elf 39 ndani ya miaka 5. Kwa mahesabu hayo ndani ya miaka 5 sitakiwi kufanya service ya gearbox......Unafanya kwa Km ulizotembea.. At least 50,000km. Uweke original gearbox oil
Huyo fundi sio kanjanja anajua anachokifanya,mdau akipeleka gari kumwaga oil yeye anazikinga kwenye madumu na kuziuza upya,hivyo alimtengenezea mazingira ya kumpigia humo kimya kimya.Alikudanganya, mafundi wengi ni makanjanja.. gearbox oil inaweza tembea mpaka 60k km kwenye hizi gari za auto.
[emoji1][emoji1][emoji1]Huyo fundi sio kanjanja anajua anachokifanya,mdau akipeleka gari kumwaga oil yeye anazikinga kwenye madumu na kuziuza upya,hivyo alimtengenezea mazingira ya kumpigia humo kimya kimya.
Kwa safari za hapa mjini kwenda na kurudi kibaruani siwezi kufikisha km elf 50 kwa mwaka. Mfano, gari langu lilipofika bandarini lilikuwa linasoma km. elf 17, leo ni miaka mitano ndo linasoma km. elf 56.......kwa hiyo hapo limetembea jumla ya km. elf 39 ndani ya miaka 5. Kwa mahesabu hayo ndani ya miaka 5 sitakiwi kufanya service ya gearbox......